Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kumbe mnayo wengi mnataimiana kupost!! Is it a mission!?Umeniwai kupost kitu hii
Mkuu usishangae,wakudadavua kaajiriwa kwa kazi hii,fuatilia thread zake toka ajiunge humu ni kutukana chadema,lowasa au mbowe,hamjamgundua tuWamemshindwa Mbowe sasa wanakimbilia Kwenye Mali zake,
Chadema ni chama cha upinzani hata mwalimu Nyerere akiona mapema kabisa bado kidogo.
Alitoa kauli hii, Sioni upinzani Tanzania labada Chadema, Hiki chama naona kina misingi kama wakiisimamia ni Chama kizuri,
Na ndio maana hata Lowassa, Kingunge , Sumae waliliona hilo.
kwahiyo kwa mbinu za kununua Upinzani utaishia kwa NCCR ya Mrema, CUF ya Lipumba sio ya Seifu siii Chadema,
Jitahidini kuchonganisha tu Mitandaoni na kwingine sii kununua Viongozi na kufanikiwa kuua chama, Chadema ni Taasisi kubwa sana,
Mnakumbuka mlimnunua nani na nini kilitokea?
Sasa ukipata kata 1 kati ya 22 , you are dead, sema mnajitutumua tu. We ni mshabiki tu lakini hali ya viongozi wako wa chama sio nzuriDAAAAH hawa ndo mathink tank wa CCM,kweli hili balaa la karne
Ila rudini mkajipange 2020 si mbali
Mmejaribu kiki nyingi sana kuwaondoa watu mchezon lakin waaaapi.
Juzi mlikuja na ushindi wenu wa udiwan na ubunge kumbe mkajikuta mnajitekenya na kucheka wenyewe,mwenzenu Lizaboni kausoma mchezo na kuona limebuma,akaamua kuja na ile kata ya tanga songea.
Haya nawe umekuja kivyakovyako tena kujaribu kuitendea haki buku7.
By the way hebu nenda kakaen chin na wazee kama wassira na kinana wawaambie wameishindwa vp CDM mpaka sasa haijafa ili nyinyi muanzie hapo
Hua wanapeana shift kila mtu aje na habari gani,saiv kaanza wakudadavua,badae au kesho anakuja lizaboni na habari yake nyingine,ndio kazi zao zinazowaweka mjini.hawaajiriki kwingine,watakula wapi?Nyie Ukoo wa Akina Lizaboni sijui mna nini yaani kutwa mipango yenu ni Uchonganishi,kutwa ni kukaa kubuni mbinu za kuwavuruga Wapinzani ili CCM itawale milele.
Vyanzo vyako vya habari.
Kuna post moja niliona kuwa chadema kwa sasa ipo makundi matatu.
Je kwa sasa kafulila kajichomeka cdm yupo team ipi
Unataka kusema ccm ni ya wakatoliki?Tangu Kanisa Katoliki lirudi CCM baada ya Jk kuondoka Chadema wanapita kipindi Kigumu sana
Enzi zile kweli CHADEMA ilikuwa sio mchezo lakini ndio hivyo tena, mwenyekiti hatimae akachanga karata vibaya , akachanganya M4C na 4U Movement, kilichotokea baada ya huo mchanganyiko unanikumbusha movie moja maarufu sana ya John Travota na Nicolas Cage inayoitwa FACE/OFF, kila mmoja anaongea lake, wakati M4C wanafikiria uanaharakati as Method ya kukuza chama, 4U Movement wasiokijua chama ila wapo purposely kwa ajili ya URAIS wanaona hiyo inaweza kuwakosesha kura 2020, na mzee mpaka anajisahau anajipigia debe ya urais 2020 kwenye kampeni za udiwani, sasa sijui mgombea hamjui au anamjua hiyo ni yeye,Wamemshindwa Mbowe sasa wanakimbilia Kwenye Mali zake,
Chadema ni chama cha upinzani hata mwalimu Nyerere akiona mapema kabisa bado kidogo.
Alitoa kauli hii, Sioni upinzani Tanzania labada Chadema, Hiki chama naona kina misingi kama wakiisimamia ni Chama kizuri,
Na ndio maana hata Lowassa, Kingunge , Sumae waliliona hilo.
kwahiyo kwa mbinu za kununua Upinzani utaishia kwa NCCR ya Mrema, CUF ya Lipumba sio ya Seifu siii Chadema,
Jitahidini kuchonganisha tu Mitandaoni na kwingine sii kununua Viongozi na kufanikiwa kuua chama, Chadema ni Taasisi kubwa sana,
Mnakumbuka mlimnunua nani na nini kilitokea?
Haaahaaaaaa mkuu kumbe wakudadavuwa ni yuleeeeeeeeeeeeee 😀😀😀😀Halafu utasema umebanwa na masomo ya Ph.D na hivyo huonekani JF. Shame!
Unataka kusema ccm ni ya wakatoliki?
Kanisa bado lipo chadema ndiyo maana wanapaza sauti juu ya njaa na ukame nchini.Tangu Kanisa Katoliki lirudi CCM baada ya Jk kuondoka Chadema wanapita kipindi Kigumu sana
Kanisa bado lipo chadema ndiyo maana wanapaza sauti juu ya njaa na ukame nchini.