robinson crusoe
JF-Expert Member
- Oct 22, 2020
- 762
- 1,236
Tulishafahamu mapema pale yule jamaa wa National housing alipopelekwa kuwa msajili wa hazina. Eti Mchechu ndiye msajili wa hazina! Mtu asiye na ethics. Mtu aliyewekwa na Luhanjo. Luhanjo aliyemleta Katibu mkuu kiongozi mpya toka Iringa.
Sasa kila mtu anahaha. Tukisema Iringa wengine watajisikia vibaya hata kama hawajaonekana kwenye teuzi.
Sasa kinachofuata jamani ni kubinafsisha usafiri wa treni. Mabehewa binafsi ya marais wastaafu, mawaziri na wabunge fulani hivi. Na kutakuwa na mikataba fulani ya kimagumashi ili serikali iwalipe wakipata hasara. Sikieni nawaambia hili linakuja.