Kifuatacho ni Kubinafsisha usafiri wa treni. Biashara za walioko Ikulu

Kifuatacho ni Kubinafsisha usafiri wa treni. Biashara za walioko Ikulu

Watu wote Tz tutumikishwe kama zamani mie namwomba Rais wetu anibinafsishe mahali itakuwa poa maana hakuna jipya chini ya jua Bora nikawatumikie waarabu tu wasimsahau Mpwayungu Village huyu ni best yangu kanita tahira mzabzab huyu anazingua akibinafsishwa tutashukuru Carasco Putin huyu anajua mamboo na huyu Hana kazi kabisa Equation x

Unataka niuzwe kwa waarabu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089]
 
Tulishafahamu mapema pale yule jamaa wa National housing alipopelekwa kuwa msajili wa hazina. Eti Mchechu ndiye msajili wa hazina! Mtu asiye na ethics. Mtu aliyewekwa na Luhanjo. Luhanjo aliyemleta Katibu mkuu kiongozi mpya toka Iringa.

Sasa kila mtu anahaha. Tukisema Iringa wengine watajisikia vibaya hata kama hawajaonekana kwenye teuzi.

Sasa kinachofuata jamani ni kubinafsisha usafiri wa treni. Mabehewa binafsi ya marais wastaafu, mawaziri na wabunge fulani hivi. Na kutakuwa na mikataba fulani ya kimagumashi ili serikali iwalipe wakipata hasara. Sikieni nawaambia hili linakuja.
Sasa wewe unataka uwe unakatwa Kodi Ili kugharamia treni ambalo halina faida kwangu?
 
Kwan reli ya Tazara wasipewe wachina ili waiendeshe kwa ufanisi
 
Hiyo train itauwa sana raia na mifugo ambao itakuwa chanzo cha delays kila uchao. Ngumu kuelewa kwa sasa, halafu atujawahi endesha mfumo wa line inayotumika frequently ni for passengers and cargo.

Yaani hapo management consultant ni lazima kabla ya kuanza kuitumia rasmi kwa mambo mengi sana vinginevyo ni vurugu machi. Kwa Tanzania huwa tunasubiri athari kwanza; halafu maamuzi ndio yanafuata.
 
Back
Top Bottom