robinson crusoe
JF-Expert Member
- Oct 22, 2020
- 762
- 1,236
Ujinga upi??acheni ujinga
Aahhh yaan we acha tuu...tumeshauzwa ote hataivo๐๐๐Mwachiluwi babe mambo eti nikibinafsishwa ukapokea fidia ukale na Dahan Kuna ubaya??
Naomba kumfahamu katibu mkuu Mpya kutoka Iringa!...Tulishafahamu mapema pale yule jamaa wa National housing alipopelekwa kuwa msajili wa hazina. Eti Mchechu ndiye msajili wa hazina! Mtu asiye na ethics. Mtu aliyewekwa na Luhanjo. Luhanjo aliyemleta Katibu mkuu kiongozi mpya toka Iringa.
Sasa kila mtu anahaha. Tukisema Iringa wengine watajisikia vibaya hata kama hawajaonekana kwenye teuzi.
Sasa kinachofuata jamani ni kubinafsisha usafiri wa treni. Mabehewa binafsi ya marais wastaafu, mawaziri na wabunge fulani hivi. Na kutakuwa na mikataba fulani ya kimagumashi ili serikali iwalipe wakipata hasara. Sikieni nawaambia hili linakuja.
Eh Tena?Aahhh yaan we acha tuu...tumeshauzwa ote hataivo๐๐๐
Ndioo shoreeyy๐๐๐Eh Tena?
Hakuna baya kabisa dearMwachiluwi babe mambo eti nikibinafsishwa ukapokea fidia ukale na Dahan Kuna ubaya??
Haya sawa ๐ au tumbinafsishe babe wetu DahanHakuna baya kabisa dear
TunAkuuza Tena na tenaNi mie nilishauzwa kitambo๐๐๐