Kifungo cha maisha kwa wabakaji waliotumwa na afande siyo habari njema


Watatoka kwa rufaa, but something is better than nothing, itawatisha vijana wengine kuogopa kujaribu huo ujinga
 
Leo umeandika kama 20 years old bro
Nisamehe kwa hilo
Labda hujawahi kufungwa au kupata msongo wa mawazo
Umewahi kujifungia ndani hata siku 2 tu ukaona kuta nne ni mbaya?
Imagine wanakaa miaka kwenye jengo moja bila kuwa na uhuru
Hiyo tu psychologically na mentally unaumia sana
Kuna jela duniani wanapewa kila kitu tena kila mfungwa na chumba chake na Choo na tv lakini uhuru wa kutoka nje hakuna
Wewe wife akuambie usitoke leo uone utakavyo haha
 
Walimdo saana yule binti, hatujui round ngapi za mbele na nyuma.
Wacha apate ahueni kwa kulipwa 4m zao, afu wao wakanyee ndoo hadi kifo kiwatenganishe na Dunia.
 
Wee mshana umefikiria kabla ya kuandika...? Yaaani ukafungwe jela halafu useme wananufaika kulalia godoro na kutofanya kazi ngumu nk...?😅😂 Umeandika kama zuchu leo
 

Ni makala ya Eng. Matarra wa Twitter X nimeileta hapa kujadiliwa.. Mwisho wa mada nimemtaja waziwazi
 
Baada ya muda wanakata rufaa wanashinda kesi wanaachiwa huru imeisha hiyoo
 
Ile video ya binti akimuomba msamaha Afande, probably walimtumia Afande ili kumuonyesha kazi nzito ya kishetani ilipofikia.
Sasa kweli anashindwa kukamatwa?
Watu wa sheria hii imekaaje jamani?
Jeshi letu la Polisi na waendasha mashitaka ni chaka la Ujambazi. Kama umesikiliza clip ya mahojiano na wakili wa waliohukumiwa, Kuna makosa ya makusudi kwenye jalada la mashitaka. Unaweza je kuandika tarehe bila mwaka au siku bila saa. Hapo walicho kifanya ni kuacha loop holes makusudi ili wakili wa utetezi upande wa watuhumiwa atumie makosa hayo kukata rufaa na kushinda.
 
Wasije wakawa wamefanya huu mchezo ili baadaye watuhumiwa watoke
 
umesahau, papuchi huioni tena kwa macho, achiliq mbali kuichapa 😄. Bwana bwana jela sio wakuu
 
Imagine utumie your 20's and 30's behind bars kwa sababu ya papuchi mnato tu, tena ya hovyo hovyo tu.
 
Ukiskia ntu ya dili, ndo huyo mkuu wa gereza sasa 😄, Ni basi tu ili backfire, lkn alikua anaiona harrier hii hapa
 
tunaomba tuione hiyo hukumu iliyo wafunga kifungu cha maisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…