Hivi Wewe una kiwango gani cha Elimu??
Mbona una kichwa kigumu namna hii?
Naamini hali hiyo uliyonayo inatokana na kuwa na elimu ya kutoka shule za kayumba, hili ndiyo tatizo ulilonalo. Je, umesoma hiyo Ibara ya 45 ya Katiba niliyokuwekea hapo juu??? Hivi kwa akili yako unafikiri kwamba hiyo Sheria yako uliyonukuu ipo juu ya Katiba ya nch??
Kwa taarifa yako: Kutokana na mifumo ya Sheria ilivyo duniani kote kabisa, Sheria yoyote ile inayokinzana na Katiba ya nchi husika Basi Sheria hiyo inakuwa BATILI KWA UJUMLA WAKE.
Aidha, kifungu chochote kile cha Sheria yoyote ile ambacho kinapingana na matakwa ya Katiba ya nchi Basi Kifungo hicho cha Sheria kinakuwa BATILI, badala yake matakwa yaliyopo kwenye Katiba ya nchi husika ndiyo yatazingatiwa.
Sasa hiyo Sheria yako uliyonukuu na Katiba ya nchi nani ni mkubwa zaidi kwa mwenzake??