Kifungo cha maisha kwa wabakaji waliotumwa na afande siyo habari njema

Kuna uwezakano hao mkubwa katika kukata rufaa hao jamaa wakaachiwa au kupunguziwa adhabu .

Nilichokiona hapo ni swala la kuifurahisha jamii na sio weredi.

Mfano huyo Afande aliyewatuma wameshindwa vipi kumkamata na kumuunganisha katika hiyo kesi.

Then kumlipa muathirika mil 4 ni hela ndogo Sana.

"Nilichokiona hapo ni kuifurahisha jamii na si weledi:

Swadakta kabisaaaaaa na ndo maana kunabaadhi ya vitu vmepelekwa pelekwa tu ilimradi kesi iishe na wahukumiwe ili lionekane limeshughulikiwa
Ila
HAwa viumbe wakikata rufaaa kunauwezekano mkubwa wa kutoka japo kutokana na pressure inaweza kuchukuwa muda ila possiblility ni kubwa zaid
 
HApana haipo hivyo kwa sheria zetu makosa ya ubakaaji, na ujambazi wa kutumia silaha hayamo kwenye msamaha kwa sheria zetu
Soma Ibara ya 45 ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya 1977.
Utaona kwamba Rais anayo Mamlaka ya kutoa msahama na kumuachia huru Mfungwa yoyote yule ambaye anatumikia adhabu yake ya kifungo Gerezani.
Ibara hii Rais Magufuli ndio aliitumia katika kumwachia huru Babu Seya na wanaye.
 
Mie bado siamini km hawa wataenda kutumikia hiyo adhabu huko Jela.
Ukizingatia kuna mkono wa system ndani yake, case ya DC na RC mbona kimya hadi leo na hatujui hatima yake ni ipii.

Tutadanganywaa hapa kwa umma, mwsho hao washenzii wanarudi uraiani, tena kazini kwao kabisaa kuendelea na majukumu yao, Lol
[emoji22][emoji22][emoji22]
 
Soma Ibara ya 45 ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya 1977.
Utaona kwamba Rais anayo Mamlaka ya kutoa msahama na kumuachia huru Mfungwa yoyote yule ambaye anatumikia adhabu yake ya kifungo Gerezani.
Ibara hii Rais Magufuli ndio aliitumia kumwachia huru Babu Seya na wanaye.
Mambo ya magu usiyachukulie kama reference maanaalifanya mambo mengi alifanya kinyume na utaratibu wa kisheria mfano, tuliweka sheria ya plea bargain na tukweka utaratibu wake ,angalia kilichotokea anajua mungu,
MSamaha tumeweka utaratibu kupitia parole boards act ambayo imeweka makosa gani hayaingij kwenye msamaha huo ikiwemo
1.ubakaji, ulawiti, madawa ya kulevya etc
Leo hata raisi ukiamua kwenda kinyume kwa nchi zetu za kiafrika wote watakaa kimya ila umevunja sheria
 
Attachments

  • Screenshot_20241001-085321_Drive.jpg
    Screenshot_20241001-085321_Drive.jpg
    449 KB · Views: 2
Kosa la kubaka halina hukumu nyingine zaidi ya hiyo
Mshana nilimsikia wakili wao kabla hata ya hukumu aliulizwa na mwandishi, je wateja wake wakikutwa na hatia adhabu ni Nini.
Akasema kesi ya gang rape ukikutwa na hatia adhabu ni maisha jela.
Kumbuka Kuna kubaka na kubaka kwa kundi.
Hawa wamekutwa na hatia ya kubaka kwa kundi.
 
Ogopa sana magereza za bongo maana mpka anayekulinda kule(askali magereza) nae njaa kali aelewi, nakumbuka nipo selo nimeletewa supu na chapati askali magereza nae anaomba nimmegee chapati ashtue utumbo.
Jamaniiiiii [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Soma Ibara ya 45 ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya 1977.
Utaona kwamba Rais anayo Mamlaka ya kutoa msahama na kumuachia huru Mfungwa yoyote yule ambaye anatumikia adhabu yake ya kifungo Gerezani.
Ibara hii Rais Magufuli ndio aliitumia katika kumwachia huru Babu Seya na wanaye.
Raisi hatoi msamaha kwa utashi waki, anatoa kulingana na sheria ya magereza na masharti yake. Na baadhi ya makosa huwezi kuachiwa kwa msaada wa raisi
 
Kupoteza uhuru wao ni jambo gumu sana.

Kesi yao iko vibaya maana ina elements za kisiasa hivyo ni ngumu sana kutoboa huko Rufani.
 
Hii sio good news ever.

Labda huelewi.

Kifungo cha maisha/Life sentence (L.S) haitawafundisha kitu hawa vijana. Kwanini nasema hivi.

1. L.S hawafanyi adhabu nje ya ngome ambazo ndio ngumu kumrekebisha mhalifu. Wao ni watu wa ndani tu kula na kulala. Wanaohukumiwa adhabu chini ya kifungo cha maisha, mfano niliyopata hupokea adhabu kali za nje ya ngome.

2. L.S hawalalii virago vibovu, wao magodoro na blanket ni nzuri na hawalali mabweni (Cells) zilizochakaa wao ni second high class baada ya #condemned.

- Nyundo na wenzake wakutwa na hatia, wahukumiwa kifungo cha Maisha Jela

3. Kulingana na sheria zetu hawa wakikaa miaka 20 wanaachiwa like hawakufanya lolote vile, sawa wanakuwa wamepoteza lkn hiyo 4m anayopewa victim haitamsaidia kitu, nikwambie na wakitoka huyo victim atakuwa 40'yrs old na hilo kwake halitakuwa limesahaulika.

4. Mind you huku uraiani ukiwa Public servant ukafanya kosa unachukiwa na kuzomewa ILA ukiingia JELA wewe ni Top Boss siku si chache atapewa mkanda na ataheshimiwa maana kule hakuna anayedeal na ulichofanya uraiani.

Huyu anaenda kustarehe...

ISITOSHE ana rufaa huyu akienda COURT OF APPEAL tutamuona uraiani nimesoma ground za kushinda ni nyingi kwasbb ya ubovu wa sheria zetu.

Mtakuja kuniambia.

Nilitegemea wafungwe miaka 30

Ambayo hii ukiappeal kwenda Court of Appeal kulingana na makosa yao wangekaa gerezani km miaka 5 hivi ndio waitwe Mahakamani.

Kwahiyo km wangepewa sentence ya 30's wangefanya adhabu za nje zote ngumu pia wangekuwa na vigezo vya kupelekwa magereza ya adhabu km kule Songea, mpk wanakuja kuitwa Mahakama wamenyooka.

PILI, ikitokea rufaa imegoma inawapandisha kifungo cha maisha ambapo napo kutoka ni mtihani
Credit: Eng_Matarra X
...Mkuu Mshana, Sio unachangsnya Madesa? Mimi Nilidhani hao unaowasema Watu wa Kula na Kulala bila Kazi ni wale waliopata adhabu ya Kifo...lakini Hawa wa Kifungo Cha Maisha, Kazi inawahusu! Ikoje hii ? ...
 
"Nilichokiona hapo ni kuifurahisha jamii na si weledi:

Swadakta kabisaaaaaa na ndo maana kunabaadhi ya vitu vmepelekwa pelekwa tu ilimradi kesi iishe na wahukumiwe ili lionekane limeshughulikiwa
Ila
HAwa viumbe wakikata rufaaa kunauwezekano mkubwa wa kutoka japo kutokana na pressure inaweza kuchukuwa muda ila possiblility ni kubwa zaid
Tatizo lenu mmekariri kua kesi lazima ichukuwe muda mrefu kuisha, sasa kama uchunguzi umekamilika hata.week mbili zinatosha kumaliza kesi!!
 
Kuna uwezakano hao mkubwa katika kukata rufaa hao jamaa wakaachiwa au kupunguziwa adhabu .

Nilichokiona hapo ni swala la kuifurahisha jamii na sio weredi.

Mfano huyo Afande aliyewatuma wameshindwa vipi kumkamata na kumuunganisha katika hiyo kesi.

Then kumlipa muathirika mil 4 ni hela ndogo Sana.
Mkuu wa Magerez Ukonga apandishwa mahakamani kwa kesi ya rushwa na ya kufoji ma docuemt.

Aliandika addendum ( nyongeza) ya listi ya majina ya msamaha wa wafungwa. Ikasoma inatoka kwa Katibu Mkuu Mambo ya Ndani.

Wachina watatu walitoa milioni 45 ili wanyopolewe kwenye kifungo Ukonga. Baada ya kuona hawatoki lawyet wao akafuatilia. Afande akataka waongeze milioni 18. Wakagoma. Kikasanuka!

Vyombo vya Ulinzi wakafuatilia wakakuta hakuna barua ya msamaha kutoka kwa Katibu Mkuu Mambo ya Ndani kusamehe wachina watatu. Mkuu wa Megereza pamoja na wenzake wawili wako Lupango.

My first ever compliment to the goverment on fighting public service corruption at high places.
Hivi ukitumwa ukaibe aliyekutuma ndio mwizi au wewe uliyeenda kuiba ndio mwizi? Tafsiri ya kisheria please
Inategemea na mazingjra na umahiri wa wanasheria na sometimes maslahi ya kisiasa kwa bongo
...Mkuu Mshana, Sio unachangsnya Madesa? Mimi Nilidhani hao unaowasema Watu wa Kula na Kulala bila Kazi ni wale waliopata adhabu ya Kifo...lakini Hawa wa Kifungo Cha Maisha, Kazi inawahusu! Ikoje hii ? ...
Ni andiko la Matarra kule X nimelinukuu hivyo Siwezi kulisemea sana
 
Ni andiko la Matarra kule X nimelinukuu hivyo Siwezi kulisemea aaba
Ogopa sana magereza za bongo maana mpka anayekulinda kule(askali magereza) nae njaa kali aelewi, nakumbuka nipo selo nimeletewa supu na chapati askali magereza nae anaomba nimmegee chapati ashtue utumbo.
nakumbuka nipo selo nimeletewa supu na chapati askali magereza nae anaomba nimmegee chapati ashtue utumbo.😂😂😂
 
Hukumu imefuata sana hisia za public kuliko sheria yenyewe
...Na Mimi nimefikitia hivyo hivyo! Kweli walistahili Adhabu, lakini Serikali ilikuwa inataka kupunguza Hasira za Wananchi! Ndio maana Kesi imeendeshwa fasta ! [emoji848]
 
Tatizo lenu mmekariri kua kesi lazima ichukuwe muda mrefu kuisha, sasa kama uchunguzi umekamilika hata.week mbili zinatosha kumaliza kesi!!
Si week mbili hata siku mbili kesi inamalizika mkuu.
Inategemea aina ya kesi na hukumu yake.

Kwenye hii kesi ukiachia pressure hawa viumbe wanaweka kata rufaa na wakatoka kwa kipengele kidogo sanaaa.
Trust me

mkuu sipo kutetea mtu maana sifurahishwi na makosa kwenye jamii ila naandika kwa ufahamu
 
Mambo ya magu usiyachukulie kama reference maanaalifanya mambo mengi alifanya kinyume na utaratibu wa kisheria mfano, tuliweka sheria ya plea bargain na tukweka utaratibu wake ,angalia kilichotokea anajua mungu,
MSamaha tumeweka utaratibu kupitia parole boards act ambayo imeweka makosa gani hayaingij kwenye msamaha huo ikiwemo
1.ubakaji, ulawiti, madawa ya kulevya etc
Leo hata raisi ukiamua kwenda kinyume kwa nchi zetu za kiafrika wote watakaa kimya ila umevunja sheria
Hivi Wewe una kiwango gani cha Elimu??
Mbona una kichwa kigumu namna hii?

Naamini hali hiyo uliyonayo inatokana na kuwa na elimu ya kutoka shule za kayumba, hili ndiyo tatizo ulilonalo. Je, umesoma hiyo Ibara ya 45 ya Katiba niliyokuwekea hapo juu??? Hivi kwa akili yako unafikiri kwamba hiyo Sheria yako uliyonukuu ipo juu ya Katiba ya nch??

Kwa taarifa yako: Kutokana na mifumo ya Sheria ilivyo duniani kote kabisa, Sheria yoyote ile inayokinzana na Katiba ya nchi husika Basi Sheria hiyo inakuwa BATILI KWA UJUMLA WAKE.
Aidha, kifungu chochote kile cha Sheria yoyote ile ambacho kinapingana na matakwa ya Katiba ya nchi Basi Kifungo hicho cha Sheria kinakuwa BATILI, badala yake matakwa yaliyopo kwenye Katiba ya nchi husika ndiyo yatazingatiwa.

Sasa hiyo Sheria yako uliyonukuu na Katiba ya nchi nani ni mkubwa zaidi kwa mwenzake??
 
Nilichogundua michango iliyotolewa humu mingi ni hisia za wachangiaji,na wale wanaoamini hawa jamaa wakikata rufaa wanaachiwa ndo waleee mwanzo wa kesi walikuwa wanasema hawa hawafungwi leo wamefungwa wanasema wakikata rufaa wanatoka.na siku wakikata rufaa wakadunda watakuja na sababu nyingine ila wabongo wajuaji sana,Mi napita hivi.
 
Back
Top Bottom