Kifungo cha maisha kwa wabakaji waliotumwa na afande siyo habari njema

Tuna frahi hapa wahuni wanaenda kutoka kwenye Appeal.afu nikurekebishe hawaendi ku Appeal moja kwa moja court of appeal ..hapa wata anzia ku Appeal HIGH COURT kwa sababu case ilikua Resident Magistrate court
 
Hii sio good news ever.

Labda huelewi.

Kifungo cha maisha/Life sentence (L.S) haitawafundisha kitu hawa vijana. Kwanini nasema hivi.

1. L.S hawafanyi adhabu nje ya ngome ambazo ndio ngumu kumrekebisha mhalifu. Wao ni watu wa ndani tu kula na kulala. Wanaohukumiwa adhabu chini ya kifungo cha maisha, mfano niliyopata hupokea adhabu kali za nje ya ngome.

2. L.S hawalalii virago vibovu, wao magodoro na blanket ni nzuri na hawalali mabweni (Cells) zilizochakaa wao ni second high class baada ya #condemned.

- Nyundo na wenzake wakutwa na hatia, wahukumiwa kifungo cha Maisha Jela

3. Kulingana na sheria zetu hawa wakikaa miaka 20 wanaachiwa like hawakufanya lolote vile, sawa wanakuwa wamepoteza lkn hiyo 4m anayopewa victim haitamsaidia kitu, nikwambie na wakitoka huyo victim atakuwa 40'yrs old na hilo kwake halitakuwa limesahaulika.

4. Mind you huku uraiani ukiwa Public servant ukafanya kosa unachukiwa na kuzomewa ILA ukiingia JELA wewe ni Top Boss siku si chache atapewa mkanda na ataheshimiwa maana kule hakuna anayedeal na ulichofanya uraiani.

Huyu anaenda kustarehe...

ISITOSHE ana rufaa huyu akienda COURT OF APPEAL tutamuona uraiani nimesoma ground za kushinda ni nyingi kwasbb ya ubovu wa sheria zetu.

Mtakuja kuniambia.

Nilitegemea wafungwe miaka 30

Ambayo hii ukiappeal kwenda Court of Appeal kulingana na makosa yao wangekaa gerezani km miaka 5 hivi ndio waitwe Mahakamani.

Kwahiyo km wangepewa sentence ya 30's wangefanya adhabu za nje zote ngumu pia wangekuwa na vigezo vya kupelekwa magereza ya adhabu km kule Songea, mpk wanakuja kuitwa Mahakama wamenyooka.

PILI, ikitokea rufaa imegoma inawapandisha kifungo cha maisha ambapo napo kutoka ni mtihani
Credit: Eng_Matarra X
Mkuu jamii tumefurahi kwa kuepushwa na watu washenzi kama hawa ,labda nikuulize sheria ya nchi gani ambayo ukifungwa maisha unaachiwa baada ya miaka 20????
Apart from appeal watakufa wakiwa jela hakuna mbadala wala msamaha wa raisi kwa wabakaji
 
Siku watakayomrekodi mama yako mzazi anabakwa kwa mfumo ule utajua ni hisia au sio hisia mpumbavu wewe
Hii hapana tumtoe mzazi ambaye hahusiki kabisa hapa
Swali dogo tu kwako Mkuu, umewah fungiwa walau lock up masaa 6. Hakuna kitu kibaya kama kukosa uhuru, pia hawa watKUwa wanawaza tumefungwa maisha (forever) disturbance na mtikisiko wa akili wake sio wa kitoto
Hii ni post ya Matarra wa Twitter X sio mtazamo wangu mimi nimeweka hapa kama mjadala
Check jela za ulaya zilivyo super lakini mtu akihukumiwa ni kilio. Unajua ni kwanini? Hakuna kitu kibaya kama kukosa uhuru wa kujiamulia mambo yako
 
Wamefanya makosa mungu kawapa nafasi ya pili ya kujututia makosa na kuyakili sio ishu yetu bro
 
Siku watakayomrekodi mama yako mzazi anabakwa kwa mfumo ule utajua ni hisia au sio hisia mpumbavu wewe
Hii hapana tumtoe mzazi ambaye hahusiki kabisa hapa
Swali dogo tu kwako Mkuu, umewah fungiwa walau lock up masaa 6. Hakuna kitu kibaya kama kukosa uhuru, pia hawa watKUwa wanawaza tumefungwa maisha (forever) disturbance na mtikisiko wa akili wake sio wa kitoto
Hii ni post ya Matarra wa Twitter X sio mtazamo wangu mimi nimeweka hapa kama mjadala
Check jela za ulaya zilivyo super lakini mtu akihukumiwa ni kilio. Unajua ni kwanini? Hakuna kitu kibaya kama kukosa uhuru wa kujiamulia mambo yako
Wewe hujawahi kukaa jela hata siku Moja usingeandika utumbo huu hivi unaijua jela vizuri
Kabla ya kuchangia mada jifunze kuisoma mpaka mwisho na kuelewa muktadha wake
Kimsingi adhabu waliyohukumiwa hao Watu siyo kitu kizuri na Wala siyo habari njema hata kidogo. Lakini sisi wote tujiulize, Je, Nini hasa kiini au chanzo cha janga kubwa lote hili lililowakumba hasa Watu??? Nafikiri chanzo cha janga hili ni kutokana na tanaduni, mila, desturi, mtindo wa maisha na mfumo wa malezi ya watoto au vijana ambayo ipo katika jamii zetu za kiafrika kwa nyakati za Sasa. Kuna ULAZIMA kwa wazazi wa sasa (hususani wazazi/walezi wa kiume) kuwa karibu zaidi na vijana wao wa kiume ili kuelezana bila aibu katika kuwapa miongozo sahihi kuhusiana na masuala haya ya mahusiano, pamoja na matumizi sahihi ya mitandao ya simu.

Naamini kwamba wapo baadhi ya Watu humu mtandaoni na hata huko uraiani pengine wamewahi kushiriki kwenye matukio mabaya zaidi ya hilo walilofanya hasa Vijana waliohukumiwa vifungo vya maisha, isipokuwa wao hawakukumbana na mkono wa Sheria kwa sababu huenda pengine hawakujirekodi videos na kuziweka publicly humu mtandaoni kama walivyofanya hawa.
Kitu cha muhimu zaidi kwa sasa ni kusimamia suala la Malezi Bora kwa Watoto na Vijana Wetu, hususani mkazo uwepo kwa wazazi au walezi kuwa waangalifu zaidi kwenye suala hili la Malezi ya Ujana sambamba na kusimamia matumizi sahihi ya mitandao ya mawasiliano ya simu kwa vijana wetu. Matumizi mabaya ya simu ndio imekuwa kichocheo kikubwa zaidi kilichowasababishia janga hili kubwa vijana hawa.
Matumizi mabaya ya simu ndio imekuwa kichocheo kikubwa zaidi kilichowasababishia janga hili kubwa vijana hawa.📌🔨
 
Matumizi mabaya ya simu ndio imekuwa kichocheo kikubwa zaidi kilichowasababishia janga hili kubwa vijana hawa.
Mkuu jamii tumefurahi kwa kuepushwa na watu washenzi kama hawa ,labda nikuulize sheria ya nchi gani ambayo ukifungwa maisha unaachiwa baada ya miaka 20????
Apart from appeal watakufa wakiwa jela hakuna mnadala wala msamaha wa raisi kwa wabqkaji
Sina ujuzi sana wa sheria mkuu ila kwa nchi hii lolote linawezekana
 
Hao wamefungwa haraka haraka ili raia tutulie au tupunguze kelele afande aweze kupita kilaini.

Afande akishapita hiviii hao vijana watatoka kwa rufaa.

Hao vijana naamini hata hawakupewa muda wa kumtaja aliyewatuma.
 
Wale bado vijana watatoka wakiwa vijana kabisa........

Nadhani watakata rufaa alafu watapambania walau walimwe miaka 30.....

Miaka 30 watatumikia pengine miaka 20 au chini ya hapo...... hivyo watatoka wakiwa kwenye 40's hivi hivyo angali vijana wenye nguvu na uwezo wa kuanzisha familia.....
UKishinda rufaa ni unatoka hupunguziwi adhabu maana adhabu ya kosa lao ni kifungo cha maisha, halafu parole hqiwahusu wabakaji
 
Kuna uwezakano hao mkubwa katika kukata rufaa hao jamaa wakaachiwa au kupunguziwa adhabu .

Nilichokiona hapo ni swala la kuifurahisha jamii na sio weredi.

Mfano huyo Afande aliyewatuma wameshindwa vipi kumkamata na kumuunganisha katika hiyo kesi.

Then kumlipa muathirika mil 4 ni hela ndogo Sana.
 
Mkuu wa Magerez Ukonga apandishwa mahakamani kwa kesi ya rushwa na ya kufoji ma docuemt.

Aliandika addendum ( nyongeza) ya listi ya majina ya msamaha wa wafungwa. Ikasoma inatoka kwa Katibu Mkuu Mambo ya Ndani.

Wachina watatu walitoa milioni 45 ili wanyopolewe kwenye kifungo Ukonga. Baada ya kuona hawatoki lawyet wao akafuatilia. Afande akataka waongeze milioni 18. Wakagoma. Kikasanuka!

Vyombo vya Ulinzi wakafuatilia wakakuta hakuna barua ya msamaha kutoka kwa Katibu Mkuu Mambo ya Ndani kusamehe wachina watatu. Mkuu wa Megereza pamoja na wenzake wawili wako Lupango.

My first ever compliment to the goverment on fighting public service corruption at high places.
 
UKishinda rufaa ni unatoka hupunguziwi adhabu maana adhabu ya kosa lao ni kifungo cha maisha, halafu parole hqiwahusu wabakaji

Inategemea mfano katika rufaa kuna MTU alihukumiwa kunyongwa Ila rufaa ilipotoka akahukumiwa miaka miwili.
 
Mkuu wa Magerez Ukonga apandishwa mahakamani kwa kesi ya rushwa na ya kufoji ma docuemt.

Aliandika addendum ( nyongeza) ya listi ya majina ya msamaha wa wafungwa. Ikasoma inatoka kwa Katibu Mkuu Mambo ya Ndani.

Wachina watatu walitoa milioni 45 ili wanyopolewe kwenye kifungo Ukonga. Baada ya kuona hawatoki lawyet wao akafuatilia. Afande akataka waongeze milioni 18. Wakagoma. Kikasanuka!

Vyombo vya Ulinzi wakafuatilia wakakuta hakuna barua ya msamaha kutoka kwa Katibu Mkuu Mambo ya Ndani kusamehe wachina watatu. Mkuu wa Megereza pamoja na wenzake wawili wako Lupango.

My first ever compliment to the goverment on fighting public service corruption at high places.

Hizo sehemu za ulizozitaja mara nyingi hela ikiwepo kufungwa ni ngumu Sana tena Sana.

Hii nimeiona na ukiona MTU kafungwa ujue hela imeliwa Ila haijamfikia muhusika.
 
Back
Top Bottom