Kifungo cha maisha kwa wabakaji waliotumwa na afande siyo habari njema

haha! ambacho hujui mweka mada hata hao wafungwa wangefungwa miaka 30 angekuja na hoja nyengine pia ya kutetea kuwa adhabu hio haitoshi!..
kuna baadhi ya watu wao saikolojia yao ni kupinga tu haijalishi umepatia ama umekosea, umefata sheria au haujafata sheria wao ni kupinga tu lkn muulize mfungwa yoyote atakuambia kifungo sio kizuri otherwise awe na matatizo wakisaikolojia!.
Kwakweli, dah!!!
 
Lazima kuwe na ushahidi usio na mashaka wa kumhusisha aliyewatuma. Mfano maandishi ya kuwa mkambake fulani, miamala ya fedha kutoka kwa mtumaji, watu walioshuhudia maagizo yakitolewa na fedha ikipokewa.

Tuhuma tu za kuwa alitutuma siyo sufficient kuwa evidence
Kwakuwa Kimenuka kawakataa mazima😀😀😀
 
Lazima kuwe na ushahidi usio na mashaka wa kumhusisha aliyewatuma. Mfano maandishi ya kuwa mkambake fulani, miamala ya fedha kutoka kwa mtumaji, watu walioshuhudia maagizo yakitolewa na fedha ikipokewa.

Tuhuma tu za kuwa alitutuma siyo sufficient kuwa evidence
Kwakuwa Kimenuka kawakataa mazima
haha! ambacho hujui mweka mada hata hao wafungwa wangefungwa miaka 30 angekuja na hoja nyengine pia ya kutetea kuwa adhabu hio haitoshi!..
kuna baadhi ya watu wao saikolojia yao ni kupinga tu haijalishi umepatia ama umekosea, umefata sheria au haujafata sheria wao ni kupinga tu lkn muulize mfungwa yoyote atakuambia kifungo sio kizuri otherwise awe na matatizo wakisaikolojia!.
Kama unamaanisha mimi pole sana! UMEKOSEA! Soma mwisho wa mada na kichwa cha habari nilichoweka
Mimi nimeileta hapa kama mjadala huru..!
 
haha! ambacho hujui mweka mada hata hao wafungwa wangefungwa miaka 30 angekuja na hoja nyengine pia ya kutetea kuwa adhabu hio haitoshi!..
kuna baadhi ya watu wao saikolojia yao ni kupinga tu haijalishi umepatia ama umekosea, umefata sheria au haujafata sheria wao ni kupinga tu lkn muulize mfungwa yoyote atakuambia kifungo sio kizuri otherwise awe na matatizo wakisaikolojia!.
Kiukweli kifungo sio kizuri kabisa !Hata Paulo alisema kwenye Biblia alipoulizwa na Mkuu ,je wataka kujifanya niwe mkristo?Paulo akajibu si wewe tuu hata Hawa wote,isipokuwa mnyororo (pingu)na kifungo hiki.Mungu na atuepushe,kutekwa,kifungo nk.Tuishi kwa Upendo na Amani.
 
Hii sio good news ever.

Labda huelewi.

Kifungo cha maisha/Life sentence (L.S) haitawafundisha kitu hawa vijana. Kwanini nasema hivi.

1. L.S hawafanyi adhabu nje ya ngome ambazo ndio ngumu kumrekebisha mhalifu. Wao ni watu wa ndani tu kula na kulala. Wanaohukumiwa adhabu chini ya kifungo cha maisha, mfano niliyopata hupokea adhabu kali za nje ya ngome.

2. L.S hawalalii virago vibovu, wao magodoro na blanket ni nzuri na hawalali mabweni (Cells) zilizochakaa wao ni second high class baada ya #condemned.

- Nyundo na wenzake wakutwa na hatia, wahukumiwa kifungo cha Maisha Jela

3. Kulingana na sheria zetu hawa wakikaa miaka 20 wanaachiwa like hawakufanya lolote vile, sawa wanakuwa wamepoteza lkn hiyo 4m anayopewa victim haitamsaidia kitu, nikwambie na wakitoka huyo victim atakuwa 40'yrs old na hilo kwake halitakuwa limesahaulika.

4. Mind you huku uraiani ukiwa Public servant ukafanya kosa unachukiwa na kuzomewa ILA ukiingia JELA wewe ni Top Boss siku si chache atapewa mkanda na ataheshimiwa maana kule hakuna anayedeal na ulichofanya uraiani.

Huyu anaenda kustarehe...

ISITOSHE ana rufaa huyu akienda COURT OF APPEAL tutamuona uraiani nimesoma ground za kushinda ni nyingi kwasbb ya ubovu wa sheria zetu.

Mtakuja kuniambia.

Nilitegemea wafungwe miaka 30

Ambayo hii ukiappeal kwenda Court of Appeal kulingana na makosa yao wangekaa gerezani km miaka 5 hivi ndio waitwe Mahakamani.

Kwahiyo km wangepewa sentence ya 30's wangefanya adhabu za nje zote ngumu pia wangekuwa na vigezo vya kupelekwa magereza ya adhabu km kule Songea, mpk wanakuja kuitwa Mahakama wamenyooka.

PILI, ikitokea rufaa imegoma inawapandisha kifungo cha maisha ambapo napo kutoka ni mtihani
Credit: Eng_Matarra X
Swali dogo tu kwako Mkuu, umewah fungiwa walau lock up masaa 6. Hakuna kitu kibaya kama kukosa uhuru, pia hawa watKUwa wanawaza tumefungwa maisha (forever) disturbance na mtikisiko wa akili wake sio wa kitoto
 
Kwenye makosa hua wanabebwa,
1. Mpanga njama
2. Mtenda tukio

Kama kuna mtu aliyewatuma huyo ndie aliyepanga hizo njama za tukio zima na waliotekeleza tukio wote ni wakosaji, hatujui mwenendo wa kesi ulikuaje kama walikiri kutumwa basi aliyewatuma atafutwe na kama ni utashi wao basi adhabu inawastahili.

Ni kweli lakini kwa mazingira ya tukio hili ni ngumu sana kupata ushahidi usio na shaka!
 
Umenena vyema. Mkristo hana roho ya kukomoa, bali msamaha na kufundisha njia njema. Kifungo cha miaka 30 kilikuwa kinatosha kuwaelekeza njia sahihi. Kifungo cha maisha hata ukimfunsisha, hana mahali pa kuyafanyia kazi mafunzo hayo maana maisha yake yaliyobaki ni ya jela tu
Sifa ya kwanza inayomtambulisha mkristo ni kutokuwa na akili ya kufikiri yeye ni mtu wa kushikiwa akili tu mfano hata mimi leo nikisema usiku wa leo nilienda mbinguni na nimekula ugali na Yesu na kanituma nije kuwa nabii wewe Lupweko lazima uje kusali kanisani kwangu
 
Kifungo cha maisha robo yake ni ipi mkuu?😁
Kifungo cha maisha haimaanishi kwamba utakaa jela mpaka siku ya parapanda.....bali utaishi jela maisha yako yote mpaka muumba atakapo mtuma Israel kuitwaa roho yako...sasa ili kupata robo ya kifungo cha maisha.....unachukua life expectancy ya mbongo unafanya kama ndio miaka aliyohukumiwa then unaifanya robo yake......
 
Kwahiyo inakuwa mingapi hapo?
 
Hii sio good news ever.

Labda huelewi.

Kifungo cha maisha/Life sentence (L.S) haitawafundisha kitu hawa vijana. Kwanini nasema hivi.

1. L.S hawafanyi adhabu nje ya ngome ambazo ndio ngumu kumrekebisha mhalifu. Wao ni watu wa ndani tu kula na kulala. Wanaohukumiwa adhabu chini ya kifungo cha maisha, mfano niliyopata hupokea adhabu kali za nje ya ngome.

2. L.S hawalalii virago vibovu, wao magodoro na blanket ni nzuri na hawalali mabweni (Cells) zilizochakaa wao ni second high class baada ya #condemned.

- Nyundo na wenzake wakutwa na hatia, wahukumiwa kifungo cha Maisha Jela

3. Kulingana na sheria zetu hawa wakikaa miaka 20 wanaachiwa like hawakufanya lolote vile, sawa wanakuwa wamepoteza lkn hiyo 4m anayopewa victim haitamsaidia kitu, nikwambie na wakitoka huyo victim atakuwa 40'yrs old na hilo kwake halitakuwa limesahaulika.

4. Mind you huku uraiani ukiwa Public servant ukafanya kosa unachukiwa na kuzomewa ILA ukiingia JELA wewe ni Top Boss siku si chache atapewa mkanda na ataheshimiwa maana kule hakuna anayedeal na ulichofanya uraiani.

Huyu anaenda kustarehe...

ISITOSHE ana rufaa huyu akienda COURT OF APPEAL tutamuona uraiani nimesoma ground za kushinda ni nyingi kwasbb ya ubovu wa sheria zetu.

Mtakuja kuniambia.

Nilitegemea wafungwe miaka 30

Ambayo hii ukiappeal kwenda Court of Appeal kulingana na makosa yao wangekaa gerezani km miaka 5 hivi ndio waitwe Mahakamani.

Kwahiyo km wangepewa sentence ya 30's wangefanya adhabu za nje zote ngumu pia wangekuwa na vigezo vya kupelekwa magereza ya adhabu km kule Songea, mpk wanakuja kuitwa Mahakama wamenyooka.

PILI, ikitokea rufaa imegoma inawapandisha kifungo cha maisha ambapo napo kutoka ni mtihani
Credit: Eng_Matarra X
kumbe kuna kam2hezo kamechezwa hapo
 
Back
Top Bottom