Kifungo cha maisha kwa wabakaji waliotumwa na afande siyo habari njema

Tuna frahi hapa wahuni wanaenda kutoka kwenye Appeal.afu nikurekebishe hawaendi ku Appeal moja kwa moja court of appeal ..hapa wata anzia ku Appeal HIGH COURT kwa sababu case ilikua Resident Magistrate court
Kilichobaki ni kuomba Mungu wasitoke
 
...Na Mimi nimefikitia hivyo hivyo! Kweli walistahili Adhabu, lakini Serikali ilikuwa inataka kupunguza Hasira za Wananchi! Ndio maana Kesi imeendeshwa fasta ! [emoji848]
Hii kesi wakikata rufaa kama rufaa yao ikichukua muda mrefu au mpaka mwakani nyakati za mambo mengii wanakuwa mtaa hawa raia.
 
Sio Tanzania hii. Kuna sheria nyingi zinakizana na katiba na mahakama inaelekeza serikali kupitia vifungu na wala serikali haifanyi hivyo.
 
Tatizo ni kuthibitisha uhusika wa aliyewatuma....je Kuna ushahidi kuwa kawatuma. Hata wakimtaja aliyewatuma Kama hawana ushahidi maneno yao tu hayatoshi kumtia hatiani.
Kwa kifupi Hawa ndio waliobaka na ushahidi walitengeneza wenyewe.
 
Adhabu za namna hii huwa sio lazima zimfunze mtenda kosa, bali kuifundisha jamii kwa ujumla kuhusiana na makosa husika na pia kuionyesha jamii kwamba haki imetendeka kwa victim
Umeona kwa usahihi.

Na mara nyingi watenda haya makosa ni psychopaths, Utamfundisha nini mtu ambaye akili yake imeharibika? ni kumtenga na jamii tu akae huko huko jela.
 
Ila kwanini tuwaombee wasitoke kama taratibu hazijafuatwaaaa.
Nadhani tungoje tuone kwanza rufani yao itapokelewa kama wakikataa ama laa
Hii kesi ilitaka kupotezewa
Hadi watu walivyopaza sauti zao sana.

Wasije wakawa wanapanga uovu nyingine kuipangua..
Halafu na aliyewatuma naye mbona kaachwa?au anafuata naye baadaye?

Vyovyote iwavyo
Mimi namuomba Mungu wasitoke
Watumikie kwanza upuuzi wao.
 
Kwa hali hii tunahitaji mabadiliko makubwa ya sheria na katiba makini Sasa yekuweza kusimamia haki za pande zote mbili
 
Kuthibitisha kama uletumwa kwa mdomo tu sio kielelezo cha kumtia mtu hatiani.
 
Raisi hatoi msamaha kwa utashi waki, anatoa kulingana na sheria ya magereza na masharti yake. Na baadhi ya makosa huwezi kuachiwa kwa msaada wa raisi
Soma hiyo Ibara ya 45 ya Katiba ya Tanzania.
1. Rais Magufuli alimwachia huru Babu Seya kwa kupitia Ibara hii hii.
2. Rais J.M. Kikwete aliwaachia huru wale wafungwa waliokuwa Askari Polisi ambao walihusika katika kumuua kwa kummiminia risasi za moto aliyekuwa Mkurugenzi Mkuu wa Idara ya Usalama wa Taifa (TISS) Lut. Gen. Imran Kombe kwa kupitia Ibara hii hii.
 
Iwe hivyo tu aisee
Wasitoke ili haki iwe haki.
Hao mawakili wenyewe sidhani kama watapoteza muda wao kukata rufaa kwa kesi kama hii. Kwa hela gani walizokuwa nazo hao vijana. Kama wamerubuniwa tu kwa vijisenti wakafanya huo upuuzi watatoa wapi hela ya kuwalipa mawakili kwenye rufaa?
 
Hao mawakili wenyewe sidhani kama watapoteza muda wao kukata rufaa kwa kesi kama hii. Kwa hela gani walizokuwa nazo hao vijana. Kama wamerubuniwa tu kwa vijisenti wakafanya huo upuuzi watatoa wapi hela ya kuwalipa mawakili kwenye rufaa?
Afande aliyewatuma si yupo?
Kuna uwezekano akawasaidia
 

Afande aliyewatuma si yupo?
Kuna uwezekano akawasaidia
Afande mwenyewe kabda atakuwa kala kona muda mrefu.
 
Rufaa ni haki yao kikatiba,wala hakuna anaewakataza wasikate rufaa,na unaweza kuta huko kwenye rufaa vikaiibuliwa vitu vipya ambavyo vitafanya kesi iwe tamu zaidi au chungu zaidi! Lolote lile linawezekana!!
 
Rufaa ni haki yao kikatiba,wala hakuna anaewakataza wasikate rufaa,na unaweza kuta huko kwenye rufaa vikaiibuliwa vitu vipya ambavyo vitafanya kesi iwe tamu zaidi au chungu zaidi! Lolote lile linawezekana!!
Sahihi kabisa na kesi imekosa uwianoo.
Japo hakuna adhabu mpya itakayotoka tena
 
Tatizo lenu mmekariri kua kesi lazima ichukuwe muda mrefu kuisha, sasa kama uchunguzi umekamilika hata.week mbili zinatosha kumaliza kesi!!
Aisee watu hawana jema, na ingechukuwa muda mrefu wangelaumu Tena.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…