Kifungua kinywa cha siasa zetu leo: Are women leaders worse dictators?

Kifungua kinywa cha siasa zetu leo: Are women leaders worse dictators?

Retired

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2016
Posts
52,815
Reaction score
103,955
1747718606061.jpeg
 
Anzia kwenye familia angalia mama mwenye kipato kuliko mume
Chunguza tabia zao halisi

Utagundua women are evils lebled an angle's smile
 
Anzia kwenye familia angalia mama mwenye kipato kuliko mume
Chunguza tabia zao halisi

Utagundua women are evils lebled an angle's smile
Hii nayo ni point kubwa, viumbe hawa wakishapata power wana disregard waliochini yao, it within their nature

Si wote, but most of them
 
Mwanamke amejaliwa kuwa na uwezo wa kufanya vitu vitatu kwa wakati mmoja lakini siyo kwa umakini mwanaume yeye hufanya kitu kimoja tu kwa wakati mmoja kwa umakini

Mwanaume unaweza mkataza mke wako kuto kufanya jambo asikusikilize yakitokea madhara ukimwambia nilikukataza atabisha na kukulaumu mbona ulikuwepo

Wanawake wanajiamini sana ukitaka kujua mwanamke anajiamini sana unapotembea kwa miguu yeye akija mbele huwa hakupishi anaenda tu, angalau wasicha huwa ni waoga lakini wa mama?

Wanawake wanajiamini sana labda kwasababu kitu yoyote inaingia

Women are created to receive while men created to give, you give her a house or ......... She you Will give a baby

Mme nikumbusha ukiwa na kambwa kale kadogo kaliko changamka kenyewe huanza kuchimba mkwala akijua likitokea la kutokea kuna lijibwa, (mbwa mkubwa na mkali yupo), litakuja kuuwasha moto , kikikiki

Hitimisho wengine huwa tunapenda kuelimisha ili watu wapate maarifa, mimi nafurahia viongozi wanao penda haki na siyo haki ya kuigiza Ile ya nyuma ya mikamera a.k.a kujizima data

Swali fikirishi, kwanini Maandiko yanasema wanawake tuishi nao kwa akili ?
1 Petro 3:7
 
Back
Top Bottom