Kifungua kinywa ni chakula muhimu sana. Tamaduni zote huwa na chakula chenye virutubisho

Sky Eclat

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2012
Posts
57,761
Reaction score
216,011

Kinaitwa kifungua kinywa, kizungu wanaita break a fast. Maana kwa masaa 10 au zaidi uliyokuwa usingizini mwili ni kama ulifunga.

Mashariki ya Kati utamaduni wao wa kifungua kinywa ni mikate, matunda ya mzaituni na dengu.



Warumi wa kale walifungua kinywa na mkate usio na chachu, tende, asali na zabibu.

Wasomi wa Kirumi ndiyo waligundua umuhimu wa virutubisha vya yai kwa kifungua kinywa. Walianza kula maya ya njiwa kabla hawajaanza kufuga kuku.

Kifungua kinywa chenye mayai manne kiliandaliwa kwenye officers mess. Ni wanajeshi kuanzia cheo cha Major ndiyo walipata hadhi ya kula kifungua kinywa hiki.
 
Huku kwentu tunayaita manumbu....
Kitu safi sana kwa matumizi ya asubuhi
 
Wala nisiwe mnafiki, nikipata nafasi napiga English breakfast......bacon, scrambled eggs,sausages,toast na orange juice. Bahati mbaya sina muda wa kupata breakfast
 
Naona hata shemeji rangi za kucha amelinganisha na viazi.🏃‍♂️
 
Kuna kipindi huwa namisi sana viazi vitamu nakaranga nachai yamaziwa aiseee nihatari sanaaaa. Namakopa nani anayajua humu? Upate mazurii ule nakaranga wallah vyakale vitamu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…