Kifungua kinywa ni chakula muhimu sana. Tamaduni zote huwa na chakula chenye virutubisho

Kifungua kinywa ni chakula muhimu sana. Tamaduni zote huwa na chakula chenye virutubisho

Wale wa kiporo Cha wali maharage na mchuzi wa nyama tupo
 
Wewe una lako jambo comrade
Comrade, ujuwe leo kila mmoja ameamua kunitazama kwa tafasiri hasi tu..... Huku kwetu viazi ndio tunatumia kama kitafunwa hasa kwenye kifua kinywa karibu kila siku inayo pita moja.
By the way, karibu tupate mlo wa mchana amigo...
IMG-20190530-WA0029.jpeg
 
Naandaa mchaichai na tangawizi napenda viazi vitamu
Vyote vikiwa vibichi au unavikausha na kuvifanya unga ?

Binafsi sijaona wa kumpiku chapati kwenye kifungua kinywa ila naweza kula chochote kilichopo kwa roho upande
Nalog off
 
Back
Top Bottom