Kifupi, TANESCO sio wawajibikaji,mwenye mbadala wake anijuze

Kifupi, TANESCO sio wawajibikaji,mwenye mbadala wake anijuze

Maleven

JF-Expert Member
Joined
Sep 8, 2019
Posts
689
Reaction score
3,373
Hapa ninapoandika umeme umekata, Sijui ni lini umeme kukatika itakua historia, at least kwa mwezi ukatike mara moja.

Kwa mfano eneo ninapoishi,
Ndano ya siku kumi (10)

1. Wameka umeme kuanzia asubuhi hadi jioni giza laanza kuingia mara tatu (3).
2. Wamekata umeme usiku kuanzia mida ya saa nne hadi kuna pambazuka mara mbili (2).
3. Wamekata umeme kwa muda mchache, range ya nusu saa hadi saa nzima mara 2.
4.kuna siku umeme ulikua mdogo hivyo ilikua ni marathon ya kuwana na kuzima kwa masaa mawili.

Unaweza kujiuliza how do i record this? Mi kazi zangu zainategemea umeme 100%. Imekua iki niathili sana. Nashindwa kujua kua

1. Uzalishaji ni mdogo watumiaji wengi hivyo wanashidwa kukidhi?
2. Mitambo ni chakavu ?
3. Hawana mafundi mahari ambao wakifix tatizo ni uhakika na sio janja janja?
4. Au ni jeuri tu na muendelezo wa kufanya wanachotaka?

Kwa vyovyote vile naamini hatukupaswa kuishi hivyo kama kungekua na uwajibikaji.

N.B
TANESCO Jamiiforum msije kuniambia nitume namba ya simu na mahali ninapoishi, mnayofanya mnajua
 
Back
Top Bottom