Mjasiria Akili JF-Expert Member Joined Sep 24, 2012 Posts 823 Reaction score 372 Oct 27, 2024 #1 DAWASA wamekuwa hawatutendei haki wakazi wa maeneo ya Kifuru kwa ukosefu wa maji kwa muda mrefu, na mbaya zaidi hakuna taarifa yoyote ya sbb za ukosefu wa maji.
DAWASA wamekuwa hawatutendei haki wakazi wa maeneo ya Kifuru kwa ukosefu wa maji kwa muda mrefu, na mbaya zaidi hakuna taarifa yoyote ya sbb za ukosefu wa maji.
Mashamba Makubwa Nalima JF-Expert Member Joined Mar 19, 2024 Posts 4,978 Reaction score 2,411 Jan 28, 2025 #2 Walifanyia kazi?
Kennedy JF-Expert Member Joined Dec 28, 2011 Posts 54,894 Reaction score 64,043 Jan 28, 2025 #3 Waziri Yupo Ofisini
KING MIDAS JF-Expert Member Joined Dec 1, 2010 Posts 8,589 Reaction score 16,936 Jan 28, 2025 #4 CCM oyeee. Lucas Mwashambwa fika hapa haraka utetee kufeli kwa CCM
Mashamba Makubwa Nalima JF-Expert Member Joined Mar 19, 2024 Posts 4,978 Reaction score 2,411 Jan 28, 2025 #5 Tutaenda mwezini wazee?!?