Kifurushi cha siku 7: Je, mtani huu mziki anauweza?

Kifurushi cha siku 7: Je, mtani huu mziki anauweza?

Huyo mtani asifuruge rekodi ya nchi kuingiza timu mbili robo fainali kwenye michuano mikubwa barani afrika. Anachotakiwa ni kumfunga muarabu nchi iendeleze furaha
 
Huyo mtani asifuruge rekodi ya nchi kuingiza timu mbili robo fainali kwenye michuano mikubwa barani afrika. Anachotakiwa ni kumfunga muarabu nchi iendeleze furaha
 
Teseka kivyakoooo, usituhusisheee, sisi sio shida zetu hizo.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], poleeeeeeeeeh
 
IMG-20230319-WA0079.jpg
 
Good morning Tanganyika!
Leo sisi ni shangwe tu Maana akishinda SIMBA limeshinda taifa na huu sio ushindi wa kawaida ni ushindi wa kumfunga mgeni goli nyingi kwenye mechi ya kimataifa. Na si mechi ya kirafiki.

Shirikisho la mpira Africa CAF hawakusubiri kukuche. Wameupa thamani ya pekee ushindi wa SIMBA wa magoli 7 dhidi ya Horoya kama ushindi wa kihistoria tangu kuanzishwa kwa shirikisho hilo. SIMBA imetengeneza rekodi nyingine! Inastahili heshima, inastahili pongezi.

Karamu ya mabao na vipigo vya goli nyingi si jambo geni kwa mnyama. Hata mtani YANGA alishawahi kupokea hamsa nunge yaani 5 kwa sifuri na hajaweza kamwe kulipa hicho kisasi. Ushindi wake mara zote umekuwa wa kinyonge kama vijana wa kileo kitandani.

Niliposema nitasimama na SIMBA nilimaanisha na nilijua kwa hakika ninachokiongea Leo ni zamu ya mtani.. Ana kihoro cha mechi najua hajui matokeo yatakuwaje. Natengeneza uzalendo wa kumuombea ushindi ili asifadhaike sana. Japo kwa vyovyote vile hata akishinda ushindi wake ni ule ule. Baada ya chali kimoko!

Akifungwa je!?[emoji23]
Kwani idadi ya magoli inakupeleka wapi, kinachotakiwa ni kufuzu hizo nyingine ni mbwembwe tu
 
Leo ni zamu ya uwanja kunajisiwa na taifa kupata aibu.
Ila kusema kweli sijawahi kuwaombea mazuri hawa ndugu zangu deportivo utopwinyo, wacha waunajisi uwanja tu sisi tutasafisha.
 
Leo ni zamu ya uwanja kunajisiwa na taifa kupata aibu.
Ila kusema kweli sijawahi kuwaombea mazuri hawa ndugu zangu deportivo utopwinyo, wacha waunajisi uwanja tu sisi tutasafisha.
Walishawahi kuunajisi
IMG-20230319-WA0091.jpg
 
Back
Top Bottom