The Watchman
JF-Expert Member
- Nov 7, 2023
- 2,186
- 4,940
"Sheria hizihizi zimetupeleka bungeni, wote wanaosema 'no reforms no election' wamekuwa wabunge miaka 10, miaka mitano na sheria hizihizi, zilitufanya tukiwa CHADEMA tukafika wabunge 72, na madiwani 1108 sheria hizihizi. Kinachotakiwa, kuwe na sheria mbaya, kuwe na sheria nzuri, kushinda uchaguzi unatakiwa utatishane na watu wanaofanya hujuma kwenye kituo" Benson Kigaila, kupitia Big star online