Tango73
JF-Expert Member
- Dec 14, 2008
- 2,180
- 1,291
Kama timu ya yanga isipoifunga El Mereikh pale Kigali basi wanayanga tusitegemee makubwa hapa nyumbani. Yanga na Simba zina mashabiki na wapenzi wengi wa soka pale Kigali kwa sababu ya uhusiano mzuri uliooneshwa kuwasajili Nionzima na Kagere. Halafu mbali na usajili huo kiswahili kinatuunganisha vizuri na wanyarwanda ambao wataona yanga ni timu ya tukae(nyumbani)
Hivyo tutegemee kupata ushindi mzuri kote kote Rwanda na hapa Mzizima
Hivyo tutegemee kupata ushindi mzuri kote kote Rwanda na hapa Mzizima