Serikali ya Tanzania imetiliana saini na kampuni moja ya uchina kujenga daraja la kigamboni.
Ujenzi unatarajiwa kuanza mapema mwezi huu ambapo katika harakati za ujenzi wake kutakuwa ajira 1000 kwa wakandarasi na ajira zingine 2000 kwa wafanyakazi wa kawaida.
My take.huu ni ukombozi wa wana wa kigamboni ambao juzi kati apa wamepandishiwa nauli.