Maundumula
JF-Expert Member
- Nov 4, 2010
- 7,553
- 3,081
Wajameni,
Jana nilikuwa naangalia TBC habari nikamuona Magufuli anakagua kazi ya ujenzi wa daraja la Kigamboni ambayo imeshaanza. Nimefarijika sana maana safari ya kivuko siku za wkend huwa ni kero kabisa.
Tokeo la Picha kutoka Google kwa http://i970.photobucket.com/albums/ae190/tanzan_2010/2-31.jpg
Hapa juu kuna picha za daraja lenyewe inavutia kwa kweli.