Kigamboni bridge

niliona kwenye tv, construction has already started. bila shaka hadi jk anatoka ofisini atakuwa ameshafungua ndo aondoke....hata DAT si hivyohivyo, kabla hajatoka, anafungua ndo anaondoka ili kutengeneza mazingira ya ccm kuonekana wamefanya kitu. the bridge is financed by NSSF.
 
That is definitely the first step towards construction. But who's financing it?
Mfuko wa Hifadhi ya Akiba ya Uzeeni au NSSF tafuta kirefu chake kiingereza mwenyewe! kwa maana nyingine ni pesa zetu ndio zinajenga hilo daraja letu!
 
Mfuko wa Hifadhi ya Akiba ya Uzeeni au NSSF tafuta kirefu chake kiingereza mwenyewe! kwa maana nyingine ni pesa zetu ndio zinajenga hilo daraja letu!
Hongera. Hio ni Ishara kwamba Tanzania Mambo ni tofauti na picha inayo chorwa kwenye magazeti yenu.
 
CONSTRUCTION UPDATES
SEPTEMBER 2012


WAZIRI WA UJENZI DKT. JOHN MAGUFULI AKAGUA UJENZI WA DARAJA LA KIGAMBONI NA BARABARA YA KILWA, ASEMA WATAKAOSABABISHA UJENZI CHINI YA KIWANGO KUFUKUZWA KAZI


MICHUZI: WAZIRI WA UJENZI DKT. JOHN MAGUFULI AKAGUA UJENZI WA DARAJA LA KIGAMBONI NA BARABARA YA KILWA, ASEMA WATAKAOSABABISHA UJENZI CHINI YA KIWANGO KUFUKUZWA KAZI











^^ mmeona mkuu hapo juu anachoma aone lami kiwango gani :lol: vigezo na mashart kuzingatiwa :lol: :cheers:









Daraja la Kigamboni likiendelea kujengwa katika bahari ya Hindi eneo la Kurasini. Daraja hilo litakapokamilika litakua na njia 6 pamoja na barabara za juu na kuwa moja ya Daraja kubwa na la kipekee Afrika mashariki na kati.



 
WAJENZI WAKIBURUDIKA BAADA YA KAZI NGUMU🙂


siku wanamaliza kujenga tutakua na wanja la basket pia :cheers: , halafu wachina wana matani na wabongo, hizi picha nimechukua kwenye micro blog zao ni kama twitter yao, basi comments za kisengesenge, kuna mtu kasema eti katika huo mchezo wa kuvuta kamba wabongo noma wanavuta kama tembo, halfu kuna mwingine kasema eti wabongo noma floor ya pili eti napanda bila ngazi tumbili :lol:










 
MARCH 2013












APRIL 2013







kutoka kwa mchina shavu dodo





MAY 2013






 
Shida ya Watanzania n kuwa tunafikiria zaidi mshiko kuliko maendeleo. Mara nyingi tunatumia nguvu kubwa kwenye upuuzi kuliko material.

Hebu jiulize: kujenga Daraja la Kigamboni ni 200billion na kujenga barabara zote za Dar mpaka uchochironi ni 100bn. Kwako wewe ipi ni kipaumbele?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…