ok nimekupata mkuu ila pia si wangewea kupunguza urefu kwa maana ya sehemu linapoanzia kushukia??
Je hili daraja ni maandalizi ya Mji wa Kigamboni....kwa nini limepewa kipambele?Kama hujenzi huu hauendi sambamba na ujenzi wa mji mpya wa kigamboni basi mradi/ujuzi huu hauna tija it will be a bridge to nowhere. Fund should be allocated to serve majority HIYO NDIO TIJA
Natamani kuja kuuona mji wa kigamboni na daraja zuri

kwahio wewe unaona kuwa maelfu ya watanzania wanaoishi kigamboni sasa hivi hawastahili kujengewa daraja ili kuondolewa kero ya usafiri unaosabibishwa na watu/magari kutegemea pantoni mbili za mwaka 1920??!! hili daraja ni kwa ajili ya wananchi wa kigamboni huo mji mpya uje au usije kujengwa kwa hili daraja kuna tija kwa wakazi wa kigamboni.
Shida ya Watanzania n kuwa tunafikiria zaidi mshiko kuliko maendeleo. Mara nyingi tunatumia nguvu kubwa kwenye upuuzi kuliko material.
Hebu jiulize: kujenga Daraja la Kigamboni ni 200billion na kujenga barabara zote za Dar mpaka uchochironi ni 100bn. Kwako wewe ipi ni kipaumbele?
my favorite view of the bridge. can not wait when the real bridge finally stands majestically tall across.
sunset view
work continues through the night, lights on the bridge platform are engineers welding the steel.