RRONDO
JF-Expert Member
- Jan 3, 2010
- 55,727
- 123,094
ok nimekupata mkuu ila pia si wangewea kupunguza urefu kwa maana ya sehemu linapoanzia kushukia??
pale kivukoni ingebidi liwe juu sana ili meli ziweze kupita kwa hiyo inabidi liwe reeefu ili lisiwe too steep,mimi sio civil engineer lakini najaribu tu kujenga logic