Kigamboni New City Master Plan

 
Anyone with updates about this project?


Wameshaanza kuweka alama za Barabara za huu Mji mpya!

Nadhani Lukuvi anafaa aitishi Mkutano wa Wananchi ilikuwafahamisha hatua hii na nini kinaendelea au kutoa Taarifa ya maandishi kupitia Wizara yake!. Maana uswahili/mitaani watu hawaishi kuendeleza tetesi-ohoo Barabara za mji huu ni mpaka mita 140 mara 70!
 
hahahaha wakuu nimecheka kwa uchungu sana.
enewei. ninayo video clip ya hii plan. naangalia uwezekano wa kuipunguza na kuiweka vipande vipande kama Mods wataridhia.(NI KUBWA MNO)

Nchi imeuzwa na risiti zipo IKULU ... hii kali kweli kweli
kaka naipataje hiyo,,..daahhhhhhh it painssss,,..yote hayo ni chini ya jk mpuuz
 
Ni kweli, alama za barabara zishaanza, nyumba ambazo barabara itapita zishawekewa alama,nimeziona. Na mimi nimesikia barabara ni mita 70 nyingine 140
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…