babu M
JF-Expert Member
- Mar 4, 2010
- 5,222
- 3,173
We are not consistent with our view - Upande mmoja tunalalamika umaskini upande mwingine hatutaki watu kuja kuwekeza.<?xml:namespace prefix = o ns = "urn:schemas-microsoft-com😱ffice😱ffice" /><o😛></o😛>
Je tungekuwa kama hawa wenzetu Waingereza wameuza mpaka kambi ya jeshi(Chelsea Barracks) kwa kampuni ya nje(Qatari Diar)kuwekeza kwe project hii hapa chini?<o😛></o😛>

Na pia tusidanganyane kama kuna Mzawa anaweza kuwekeza kwenye project kubwa kama hiyo return yake ni ya muda mrefu.<o😛></o😛>