chini ya serikali ya JK yote haya yanawezekana aiseeKudadeki..wabongo tunapenda vitu vya kufikirika.....tunashindwa hata kutunza hivi tulivyonavyo...tutaweza hayo maghorofa?
Sisi wabongo wengi wetu tuna asili ya uchafu..utakuta mtu kajenga ghorofa kwenye slums......Yaani hiyo Kigamboni..its too good to be in bongo..
risiti iko wapi?
Naungamkono hoja hii nchi imeshauzwa kweli. ila ni lazima sisi tuwatengezee njia watoto wetu na ndugu zetu wanaokuja miaka ya mbele. na ili tufanikiwe hilo hatutakiwi kulala mpaka kieleweke.
ha ha ha, hii clip ni nzuri kweli kweli kwa kuitazama, hivi katika nchi ambamo kuna shule zisizo na madawati, watoto wanakaa chini na wengine kusomea chini ya miti, katika nchi ambayo serikali yake inakiri kwamba haiwezekani kusomesha watoto mpaka form six bure, katika nchi ambayo wamama wanajifungulia chini, katika nchi ambayo rais wake ameahidi bajaji kwa wajawazito. Halafu kuna vijitu na degree zao kabisa wanaamini katika hizi njozi, tumeshindwa madogo tutaweza makubwa?
Huu mradi nimegundua kuwa umesha kamilika, hamna kinacho endelea.
CD ya michoro ilipo toka na kusifiwa sana ndio ukawa mwisho wa huu mradi.