Kigamboni ni mji unaojengeka kuliko yote Dar, Serikali iweke miundombinu vizuri

BrownRange

JF-Expert Member
Joined
Dec 25, 2020
Posts
927
Reaction score
1,191
Kigamboni ndio wilaya inayokua kwa Kasi katika mkoa wa DSM. Inahitaji miundombinu kabla hatujachelewa. Pia tozo za kuvuka maji kwa gari zishuke zaidi na zaidi mji ujengeke na utanuke.

Nawasilisha
 
Baki na Li mji lako Kila Mara Unavuka Maji Ngoja Siku Ligome sijui Utavuka wapi[emoji30]
Na Kule kwenye Malori Tunakuwekea Foleni ya Bandarini Mpaka Ufike Posta Ushachoka sanaaa,Halafu Ukirudi tuu tunajazana Tunakuwa wengi tunagombania Pantoni[emoji3][emoji30]
Lakini Sababu Ndio tumepata Viwanja kwa bei cheee tutapasifia Tuu[emoji38]
 
Viwanja bei juu, kuanzia kibada, geza, kisarawe 2, masota, mjimwema, ungindoni. Labda nje ya mji
 
Baki na Li mji lako Kila Mara Unavuka Maji Ngoja Siku Ligome sijui Utavuka wapi[emoji30]
Na Kule kwenye Malori Tunakuwekea Foleni ya Bandarini Mpaka Ufike Posta Ushachoka sanaaa,Halafu Ukirudi tuu tunajazana Tunakuwa wengi tunagombania Pantoni[emoji3][emoji30]
Lakini Sababu Ndio tumepata Viwanja kwa bei cheee tutapasifia Tuu[emoji38]
Wewe ni wa Mkoani KIGAMBONI ina Njia nyingi zaidi ya pantoni
 
Miundo mbinu bado mibovu
Licha ya watu kujenga

Goba watu wanajenga pia lakini napo miundo mbinu ovyo kabisaaa

Ova
 
Baki na Li mji lako Kila Mara Unavuka Maji Ngoja Siku Ligome sijui Utavuka wapi[emoji30]
Na Kule kwenye Malori Tunakuwekea Foleni ya Bandarini Mpaka Ufike Posta Ushachoka sanaaa,Halafu Ukirudi tuu tunajazana Tunakuwa wengi tunagombania Pantoni[emoji3][emoji30]
Lakini Sababu Ndio tumepata Viwanja kwa bei cheee tutapasifia Tuu[emoji38]
Unazungumza nini, mbona Kigamboni unaipata kwa kupitia darajani? Hayo mafoleni yapo kila pahali Dar na siyo huko tu.

Au unaogopa maji kijana usije liwa na samaki?
 
sehem kubwa ya wakazi mji wa KIBADA uliopo kigamboni hawana maji ya DAWASCO, wanaokoteza maji kutoa kwenye visima visivyo salama
 
Kigamboni ndio wilaya inayokua kwa Kasi katika mkoa wa DSM. Inahitaji miundombinu kabla hatujachelewa. Pia tozo za kuvuka maji kwa gari zishuke zaidi na zaidi mji ujengeke na utanuke.

Nawasilisha
Sio kweli... Kuna sehemu pale wanapaita kisiwani ...ni uswailini na kuna baadhi ya maeneo wameanza ule ujenzi wa kutokuachiana njia....sasa huu ni ulimbukeni wa kizamani

Kama ile kigamboni iliyotaka kukengwa na JK ndio ingekuwa leo ipo hapo hakika ile ilikuwa ni KIGAMBONI CITY haswaaaaaa

sehem kubwa ya wakazi mji wa KIBADA uliopo kigamboni hawana maji ya DAWASCO, wanaokoteza maji kutoa kwenye visima visivyo salama
Mmmh mkuu unajua tank kubwa la maji ya DAWASA lipo wapi kwa kigamboni?
 
Miundo mbinu bado mibovu
Licha ya watu kujenga

Goba watu wanajenga pia lakini napo miundo mbinu ovyo kabisaaa

Ova
na wasipoangalia litatokea bonge la slums like bila mpangilio, she serikali zetu zinapangaga mji baada ya watu kujipangia, sasa hivi unaona mji unakua watu wanajeng but give it time hakuna mitaaa hakuna barabara nk
 
Upo sawa kiongozi. Tukishtuka mji hautamaniki
 
Kabisa mtu unaenda kukaa kigamboni kweli si bora uende chanika porini huko.
 
Back
Top Bottom