BrownRange
JF-Expert Member
- Dec 25, 2020
- 927
- 1,191
Kigamboni ndio wilaya inayokua kwa Kasi katika mkoa wa DSM. Inahitaji miundombinu kabla hatujachelewa. Pia tozo za kuvuka maji kwa gari zishuke zaidi na zaidi mji ujengeke na utanuke.
Nawasilisha
Viwanja bei juu, kuanzia kibada, geza, kisarawe 2, masota, mjimwema, ungindoni. Labda nje ya mjiBaki na Li mji lako Kila Mara Unavuka Maji Ngoja Siku Ligome sijui Utavuka wapi[emoji30]
Na Kule kwenye Malori Tunakuwekea Foleni ya Bandarini Mpaka Ufike Posta Ushachoka sanaaa,Halafu Ukirudi tuu tunajazana Tunakuwa wengi tunagombania Pantoni[emoji3][emoji30]
Lakini Sababu Ndio tumepata Viwanja kwa bei cheee tutapasifia Tuu[emoji38]
Wewe ni wa Mkoani KIGAMBONI ina Njia nyingi zaidi ya pantoniBaki na Li mji lako Kila Mara Unavuka Maji Ngoja Siku Ligome sijui Utavuka wapi[emoji30]
Na Kule kwenye Malori Tunakuwekea Foleni ya Bandarini Mpaka Ufike Posta Ushachoka sanaaa,Halafu Ukirudi tuu tunajazana Tunakuwa wengi tunagombania Pantoni[emoji3][emoji30]
Lakini Sababu Ndio tumepata Viwanja kwa bei cheee tutapasifia Tuu[emoji38]
Unazungumza nini, mbona Kigamboni unaipata kwa kupitia darajani? Hayo mafoleni yapo kila pahali Dar na siyo huko tu.Baki na Li mji lako Kila Mara Unavuka Maji Ngoja Siku Ligome sijui Utavuka wapi[emoji30]
Na Kule kwenye Malori Tunakuwekea Foleni ya Bandarini Mpaka Ufike Posta Ushachoka sanaaa,Halafu Ukirudi tuu tunajazana Tunakuwa wengi tunagombania Pantoni[emoji3][emoji30]
Lakini Sababu Ndio tumepata Viwanja kwa bei cheee tutapasifia Tuu[emoji38]
Sio kweli... Kuna sehemu pale wanapaita kisiwani ...ni uswailini na kuna baadhi ya maeneo wameanza ule ujenzi wa kutokuachiana njia....sasa huu ni ulimbukeni wa kizamaniKigamboni ndio wilaya inayokua kwa Kasi katika mkoa wa DSM. Inahitaji miundombinu kabla hatujachelewa. Pia tozo za kuvuka maji kwa gari zishuke zaidi na zaidi mji ujengeke na utanuke.
Nawasilisha
Mmmh mkuu unajua tank kubwa la maji ya DAWASA lipo wapi kwa kigamboni?sehem kubwa ya wakazi mji wa KIBADA uliopo kigamboni hawana maji ya DAWASCO, wanaokoteza maji kutoa kwenye visima visivyo salama
na wasipoangalia litatokea bonge la slums like bila mpangilio, she serikali zetu zinapangaga mji baada ya watu kujipangia, sasa hivi unaona mji unakua watu wanajeng but give it time hakuna mitaaa hakuna barabara nkMiundo mbinu bado mibovu
Licha ya watu kujenga
Goba watu wanajenga pia lakini napo miundo mbinu ovyo kabisaaa
Ova
Upo sawa kiongozi. Tukishtuka mji hautamanikina wasipoangalia litatokea bonge la slums like bila mpangilio, she serikali zetu zinapangaga mji baada ya watu kujipangia, sasa hivi unaona mji unakua watu wanajeng but give it time hakuna mitaaa hakuna barabara nk
Kigamboni ni karibu na mjini,Kabisa mtu unaenda kukaa kigamboni kweli si bora uende chanika porini huko.
Kibaha napo ni sehemu nzuriWengine tushaweka kambi Morogoro Road hutuambii kitu na hivi mwendokasi hadi Kibaha ndio kabisaaa
Njoo kiluvya ila bei zomechangamka 20×40 10MKibaha napo ni sehemu nzuri