Hyrax
JF-Expert Member
- May 20, 2023
- 1,458
- 4,409
Kwa utafiti wangu hii ni moja kati ya wilaya bora sana kwa landscape yake na hali ya hewa inayochagizwa na bahari ya hindi jambo linatoa fursa mbalimbali za kiuchumi kama ukitazama wilaya hii kwa jicho la kibishiara na uwekezaji lakini jambo baya zaidi katika wilaya hii ni kama imetelekezwa sijui viongozi wamepatwa na upofu na Nguvu ya Nuru ya kuona potentials za hii wilaya ya kigamboni hawana kabisa.
Kwa asilimia 98% Barabara za wilaya hii ya kigamboni ni mbovu sana, maendeleo ya wilaya hii yanaenda kwa kusuasua Mno jambo linalopelekea kufifisha uzuri wa wilaya hii na watu wake jambo ambalo sio kweli 100%
Kwa wale wanaotaka kuwekeza kwenye kununua ardhi kwenye wilaya hii fanyeni hivyo kwa kasi maana kuna siku isiyo na jina hii wilaya ardhi yake itakuwa na thamani kubwa zaidi kuliko wilaya zote zilizopo jiji la Dar es salaam take my note.