- Thread starter
- #21
RAIS KIKWETE AWEKA JIWE LA MSINGI UJENZI DARAJA LA KIGAMBONI
Thursday, September 20, 2012
* Aonya 'wenye viwanda' vya kutunga uongo kuacha tabia hiyo na kuelekeza nguvu kwenye maendeleo
* Asema viongozi wa vyama vya upinzani badala ya kupigania maendeleo, wapo tayari nchi iyakose
*Asema tukio la kuwekwa jiwe la msingi ujenzi huo, leo litawanyima usingizi badala ya kufurahi
DAR ES SALAAM, TANZANIA
Rais Jakaya Kikwete leo, Alhamisi, Septemba 20, 2012, ameweka Jiwe la Msingi la ujenzi wa Daraja la Kigamboni, Dar es Salaam, huku akiwaonya watu ambao amewaeleza kuwa wanavyo viwanda vya kutunga uongo kuacha tabia hiyo na kuelekeza nguvu kwenye maendeleo.
Aidha, Rais Kikwete amewahakikishia wakazi wote wa Kigamboni ambao wanaondolewa katika maeneo yao kwa ajili ya kupisha ujenzi wa daraja hilo na ujenzi wa Mji Mpya wa Kigamboni kuwa watalipwa stahili na haki zao zote.
Daraja hilo la Kigamboni ambalo wazo la kujengwa kwake lilibuniwa kwa mara ya kwanza zaidi ya miaka 30, tokea mwaka 1978, wakati wa uongozi wa Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Nyerere, linajengwa kwa gharama ya Sh. bilioni 214.6 na litakuwa tayari katika muda wa miezi 36 ijayo, ingawa muda huo unaweza kupungua na kubakia miezi 30.
Daraja hilo ambalo litakuwa na urefu wa mita 680 linagharimiwa kwa pamoja na Serikali na Shirika la Hifadhi ya Jamii la NSSF ambalo litachangia kiasi cha asilimia 60 na Serikali asilimia 40.
Daraja hilo ambalo litakuwa na barabara sita za kupitisha magari kwa wakati mmoja linajengwa na kampuni mbili za China ambazo ni China Railway Construction Engineering Group na China Railway Major Bridge Engineering Company na mhandisi msimamizi wa ujenzi huo ni Kampuni moja ya Misri.
Daraja hilo linatarajiwa kupunguza adha ya usafiri kati ya Kigamboni na Dar es Salaam ambao kwa sasa unategemea vivuko au boti ndogo, mitumbwi ama wenye magari kulazimika kufanya mzungumo wa kilomita 52.
Kwa uamuzi wa sasa, wavuka kwa miguu ambao watakuwa na njia maalum kwenye daraja hilo pamoja na waendesha baiskeli watavuka bure bila malipo yoyote.
Akizungumza kwenye sherehe hiyo, Rais Kikwete amesema kuwa Serikali haiwezi kudhulumu wananchi wake na hivyo watu wote ambao wanastahili fidia kutokana na ujenzi wa daraja hilo na mji mpya wa Kigamboni watalipwa haki na stahiki zao.
Aidha, Rais Kikwete amesema kuwa Serikali yake haitaruhusu mtu yoyote kuzuia ama kuchelewesha miradi ya maendeleo ambayo inalenga kunufaisha watu wengi.
Haya yaweza kuwa kejeli kwa madai ya msingi ya wanakigamboni kuwa Sheria haijafutwa na wao kama waathirika na miradi hii hawajahusishwa katika mchakato unaoendelea.
Hakuna mwanakigamboni wanao pinga mradi bali madai yao ya msingi kuhusu masilahi yao kulindwa hayajapewi nafasi.
Haijalishi imetajwa kuwa ni Bush anataka kununua au la!,lakini ukweli ni kwamba wakaazi watarajiwa wa huo mjipya ni wa aina ya BUSH na hata mpango uliopo kwa mujibu wa Ramani unasomeka hivyo kwa kuwa Wakaazi waliopo watahamishwa na Kupelekwa Zoo(Eneo tengefu Karibu na Kibada ili kuwapisha wanene.
Uhalisia wa mpango na ujenzi na majengo yanayotarajiwa kujengwa Kigamboni kwa mujibu wa Mpango wenyewe hata mtoto wa darasa la tano anaweza kung`amua kuwa familia yao haitaweza kuishi maisha ndani ya mji kama ule na kwa maana hiyo wanaona wazi wao lazima waondoke na kwamba kutakuwa na mtu mwingine atakaye kuja kuishi humo(Kigamboni new City)
Wanakigamboni wanataka zoezi zima lifuate sheria na liwe zoezi la wazi na washirikishwe hatua kwa hatua na lisiliwe suala la kisiasa kama Raisi anavyotaka lionekane na madai ya msingi wanakigamboni yaonekane ni hoja dhaifu .
Mapungufu yanazunguka zoezi hili la Mjimpya yamefanyiwa dokezo na Haki ardhi na ingependeza Raisi akapata muda wa kupitia na kufanya mlinganisho na anachoelezwa na wataalamu wa wizara pamoja na waziri mwenyewe(Prof.Tibaijuka).View attachment THE NEW KIGAMBONI CITY, PROSPECTS AND CHALLENGES(6) 2012.pdf
Suala la kuwahamisha watu na kusema unawaletea maendeleo si haki hata kidogo.
Mradi huu ungependeza na wala usingekuwa na Kelele kama Serikali itabaki na Suala la Miundo mbinu na ikawashirikisha watakao athirika na miundo mbinu hiyo na hao wanaowaita wawekezaji wakabaki wanakubaliane na wenye maeneo/ardhi kwa upande mwingine KDA inayotaka kuundwa ikawa msimamizi ilikulinda haki ya Wenye Ardhi na pia kusimamia ujenzi unaoendana na Mpango Wenyewe.
Lakini watakufa kwa kihoro kwa sababu hatutashindwa. Kila tulilosema tutalifanya, litafanyika.
Amesema kuwa thamani kubwa ya vyama vya siasa ni maendeleo ya wananchi. Lakini wapo wenzetu ambao wanaudhika wakiona maendeleo. Wanapenda hata daraja hili lisijengwe. Leo hawatalala usingizi. Kazi ya vyama vya siasa ni kuweka maslahi yetu sote mbele.
Posted by Bashir Nkoromo at 7:43 AM 0 comments Email This

Rais Kikwete pia amewaonya watu ambao wamelifanya suala la kutunga na kusema uongo kama sehemu ya utamaduni wao. Watu wana viwanda vya kuzalisha uongo. Wanashinda wanasambaza uongo kwenye mitandao, kila mahali. Wamepata hata kusema kuwa mimi nimemuuzia George Bush eneo la Kigamboni. Bush aje kufanya nini Kigamboni?
Haya yaweza kuwa kejeli kwa madai ya msingi ya wanakigamboni kuwa Sheria haijafutwa na wao kama waathirika na miradi hii hawajahusishwa katika mchakato unaoendelea.
Hakuna mwanakigamboni wanao pinga mradi bali madai yao ya msingi kuhusu masilahi yao kulindwa hayajapewi nafasi.
Haijalishi imetajwa kuwa ni Bush anataka kununua au la!,lakini ukweli ni kwamba wakaazi watarajiwa wa huo mjipya ni wa aina ya BUSH na hata mpango uliopo kwa mujibu wa Ramani unasomeka hivyo kwa kuwa Wakaazi waliopo watahamishwa na Kupelekwa Zoo(Eneo tengefu Karibu na Kibada ili kuwapisha wanene.
Uhalisia wa mpango na ujenzi na majengo yanayotarajiwa kujengwa Kigamboni kwa mujibu wa Mpango wenyewe hata mtoto wa darasa la tano anaweza kung`amua kuwa familia yao haitaweza kuishi maisha ndani ya mji kama ule na kwa maana hiyo wanaona wazi wao lazima waondoke na kwamba kutakuwa na mtu mwingine atakaye kuja kuishi humo(Kigamboni new City)
Wanakigamboni wanataka zoezi zima lifuate sheria na liwe zoezi la wazi na washirikishwe hatua kwa hatua na lisiliwe suala la kisiasa kama Raisi anavyotaka lionekane na madai ya msingi wanakigamboni yaonekane ni hoja dhaifu .
Mapungufu yanazunguka zoezi hili la Mjimpya yamefanyiwa dokezo na Haki ardhi na ingependeza Raisi akapata muda wa kupitia na kufanya mlinganisho na anachoelezwa na wataalamu wa wizara pamoja na waziri mwenyewe(Prof.Tibaijuka).View attachment THE NEW KIGAMBONI CITY, PROSPECTS AND CHALLENGES(6) 2012.pdf
Maendeleo bila kutenda haki si maendeleo.Tatizo Serikali imebaki kuabudu miungu watu (Wawekezaji)na huku baadhi ya maofisa wakiona Kigamboni mahala pakustaafia kimasilahi kwa kushiriki kwenye uporaji wa Ardhi kwa bei poa na kwa jina la Uwekezaji.Rais pia amesema kuwa wapo watu ambao hawapendi maendeleo ya nchi. Wanatamani kila siku tushindwe kuwaletea wananchi maendeleo.