Kigamboni Sports Complex: Home of Champions

Kigamboni Sports Complex: Home of Champions

Uwanja wa KMC unaojengwa Mwenge kwa gharama ya 3 bilioni...Chapa GSM na Taifa gas ($1 B Rostam+$500m GSM)watashindwa vipi kujenga kiwanja cha 3B kwa mfano...
Uwezo sio tatizo, tatizo linakuja kwenye kutimiza ahadi, 200m ilikuwa kizaazaa
 
Waanzage hata kidogo angalau na sisi tupate nguvu ya kuongea sio makaratasi tu hayo kwani kuna mwaka na sehemu siikumbuki ni wapi pale 🤔 walipelekwaga hadi wachina wakaanza kupima pima mwisho wake ikawa hola.
 
Waanzage hata kidogo tupate nguvu ya kuongea sio makaratasi tu hayo kwani kuna mwaka na sehemu siikumbuki ni wapi pale 🤔 walipelekwaga hadi wachina wakaanza kupima pima mwisho wake ikawa hola.
🤣🤣 bora umelijua hilo.
 
Hii picha humo ndani majukwaani sio.

Hii picha nahisi ina walakini maana sijaona ipostiwe kwenye official account za vyura.
 
Daaa watu humu washachanganyikiww siku ukianza kujengwa hapo June sijui wwtafanyaje. Mo atazira kupitia twita na viongozi na washabiki wake a.k.a vibwengo watazira kupitia fesibuku, Jeief,yutyubu wasapu n.k
 
Uwezo sio tatizo, tatizo linakuja kwenye kutimiza ahadi, 200m ilikuwa kizaazaa
200 zishatolewa? Kutwa unalala unamuwaza jirani yako ilihali wewe kwako huna uhakika Wa kula kwa sababu unamtegemea mtu
 
Daaa watu humu washachanganyikiww siku ukianza kujengwa hapo June sijui wwtafanyaje. Mo atazira kupitia twita na viongozi na washabiki wake a.k.a vibwengo watazira kupitia fesibuku, Jeief,yutyubu wasapu n.k
Iwage kweli aiseee. Japo kwa Ukubwa wa Timu ya Wanachi tumechelewa sana kufika huko ila angalau.

Mana kina mwafulani kuwa na Uwanja usio na majukwaa basi kelele tuppu.
 
Back
Top Bottom