Shadeeya
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 49,759
- 118,798
Hapo kwenye red tafusiri puliiizzzz. 💃💃Nasema hivi Yanga ni sawa na baiskeli ya kunolea visu kelele nyingi halafu iko hapo hapo.
La vie est belle
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapo kwenye red tafusiri puliiizzzz. 💃💃Nasema hivi Yanga ni sawa na baiskeli ya kunolea visu kelele nyingi halafu iko hapo hapo.
La vie est belle
Kuna thread humu ndani inasema " kuishi na mwanamke kunahitaji uvumilivu wa chuma"Mtakuja kupata vidonda vya tumbo nyie na presha juu. 😀
Haswaa na pia viongozi walisema ifikapo mwezi Mei tutarajie Yanga kuingia katika mfumo mpya Wa uwekesaji ngoja tuanze kusubiri hilo kwanzaIwage kweli aiseee. Japo kwa Ukubwa wa Timu ya Wanachi tumechelewa sana kufika huko ila angalau.
Mana kina mwafulani kuwa na Uwanja usio na majukwaa basi kelele tuppu.
Hahaha tuombe uzima Shadeeya.Hapo tutakapoanza ujenzi ndio utajua kwamba hiyo baskeli ya kunolea visu huwa inasogeaga au inabakiaga hapo hapo.
Life is good.Hapo kwenye red tafusiri puliiizzzz. 💃💃
Hahahaaa!! Tuache hebu.Kuna thread humu ndani inasema " kuishi na mwanamke kunahitaji uvumilivu wa chuma"
Na mimi nasema. " kuwa shabiki wa Yanga kunahitaji moyo wa chuma" kwako kashasha.
La vie est belle
Yes waanze na hilo kwani ndio litakuwa mwanzo wa mambo kuwa mazuri huko Kigamboni.Haswaa na pia viongozi walisema ifikapo mwezi Mei tutarajie Yanga kuingia katika mfumo mpya Wa uwekesaji ngoja tuanze kusubiri hilo kwanza
Subiri tu ila niseme mtakuja kupata vidonda vya tumbo nyie na presha juu. [emoji3] Mana hamtaamini.
😂😂😂😂Nasikia ile mechi ya tarehe 08 walifanyaga kumpokonya simu. 🤣🤣
Hakika Mtani.Hahaha tuombe uzima Shadeeya.
La vie est belle
[emoji23] [emoji23] [emoji23]