Nakuelewa Sana ,tena asiguswe ,analipa Kodi za Halali ,ametoa ajira Kwa watanzaniaOk.....wawe wanaambiwa wameanza Jana au juzi au mwaka Jana au mwaka juzi au hata wakati was JK au Mkapa au Mwinyi au hata wakati was Nyerere nadhani Hawa jamaa wanabambikiwa tu...sisi tunawahitaji zaidi wafanyabiashara kuliko wanavyotuhitaji sisi...waachiwe tu na wafanye biashara ya mafuta ...kukamatwa kwao kutaathiri biashara ya mafuta na hasa huko vijijini au mikoani...watu wanaweza kufunga vituo vya mafuta kwa kukosa mafuta .
Kabisa, kabisa kabisa tuwache kwani wanaweza kukimbia nchi na kufunga biashara...Hii mbaya Sana kwa hakika...Nakuelewa Sana ,tena asiguswe ,analipa Kodi za Halali ,ametoa ajira Kwa watanzania
Kuna wezi wafanyabiashara na kuna wanasiasa majambazi ambao hutumia madaraka yao aidha kufanya unyang'anyi ama hulinda wezi huku wakipora mali za wengine na HAPA NDIPO TOFAUTI ILIPO BAINA YA WAFANYABIASHARA WANAOTAKIWA NA NCHI NA WALE WANAOSHIRIKIANA NA WANASIASA KUIIBIA NCHI HUKU WAKILINDWA.Ok.....wawe wanaambiwa wameanza Jana au juzi au mwaka Jana au mwaka juzi au hata wakati was JK au Mkapa au Mwinyi au hata wakati was Nyerere nadhani Hawa jamaa wanabambikiwa tu...sisi tunawahitaji zaidi wafanyabiashara kuliko wanavyotuhitaji sisi...waachiwe tu na wafanye biashara ya mafuta ...kukamatwa kwao kutaathiri biashara ya mafuta na hasa huko vijijini au mikoani...watu wanaweza kufunga vituo vya mafuta kwa kukosa mafuta .
Ukitaka kuwa "win" maskini onesha "unawachukia matajiri!!" Ukitaka kupendwa na mahasidi "... waruhusu wavunje sheria!!" Ukitaka kuonekana mwema "pita njiani ukinunua majogoo na kutapanya fedha za umma huku ukijisifia kutetea wanyonge waliopanga biashara zao barabarani pasipo kujali usalama wa maisha yao wala afya za walaji wa bidhaa zao!!"Kabisa, kabisa kabisa tuwache kwani wanaweza kukimbia nchi na kufunga biashara...Hii mbaya Sana kwa hakika...
Sio rahisi upigaji kama huo kusiwe na mkono wa vigogo serikalini.
Halafu wale teeth wa kipindi Cha mwenda zake walikuwa wapi? Maana tunaambiwa walikuwa hatari balsa
Hivi kwa mfano wangekuwa ni magaidi na kuamua kulipua hayo mapipa ya mafuta si walikuwa washafanikiwa.
Wahusika wote wakamatwe, akiwemo mmiliki wa hiyo nyumba na wenye hayo malori kama yanavyoonekana hapo kampuni ya LAKE OIL.
Hayo mengine Mimi binafsi siyajui ...nasema nchi imefunguliwa kwani ilikuwa imefungwa . Hakuna kubambikia kesi watu...Kodi zilipwe kwa hiari kwani sisi tunawahitaji wafanyabishara...tunaingiza juice kutoka Kenya na maziwa pia ...na ngano pia...wafanyabishara wetu wachangamke..Ukitaka kuwa "win" maskini onesha "unawachukia matajiri!!" Ukitaka kupendwa na mahasidi "... waruhusu wavunje sheria!!" Ukitaka kuonekana mwema "pita njiani ukinunua majogoo na kutapanya fedha za umma huku ukijisifia kutetea wanyonge waliopanga biashara zao barabarani pasipo kujali usalama wa maisha yao wala afya za walaji wa bidhaa zao!!"
Wapare wanasema kuruka ruka hakusaidii matako yapoe baada ya kipigo cha mboko.Tatizo kubwa la mwendazake alikuwa anataka ale yeye tu ilhali wengine wanakufa na kwashakoo sasa kwa jinsi binadamu alivyo unapombana sana anatafuta njia mbadala ya kutokea, katika kipindi chake kulikua na chawa wake ambao uwepo wake ulikua unawanufaisha sana ndio maana hata walikua radhi kuua hata mtu aliyekua anampinga.
Ukweli ni kwamba aliharibu sana hili Taifa, Mungu wa mbinguni amesikia kilio cha watanzania akaamua kumchukua maana alikokua anaelekea kulikuwa siyoooo kabisaaaaa.
Acha wivu wa kike mkuu. Hata wakikamatwa you won't gain or lose anything. Kama wewe ni masikini utabaki kuwa masikini tu.Duh... Nchi hii!!! Mafuta yana faida sana! Manake gharama iliyo tumika kukamilisha huo wizi sio ndogo! Wangeweza kupata kifaa chao chenye security footage, nadhani ingekuwa bora zaidi.
Pili, kama wametoboa baada ya flow meter, ina maana kuna wahusika wa ndani ya bandari. Kwahiyo nao wachunguzwe!
List ni ndefu!
Sent from my S20 Ultra using JamiiForums mobile app
Wwe lazima utakua pia mwizi wa Mafuta!!Acha wivu wa kike mkuu. Hata wakikamatwa you won't gain or lose anything. Kama wewe ni masikini utabaki kuwa masikini tu.
Ni lini Juice, viberiti, njiti za kuchokolea meno, viliacha kutoka huko unakokutaja? Samahani hivi la saba ulimaliza lini?Hayo mengine Mimi binafsi siyajui ...nasema nchi imefunguliwa kwani ilikuwa imefungwa . Hakuna kubambikia kesi watu...Kodi zilipwe kwa hiari kwani sisi tunawahitaji wafanyabishara...tunaingiza juice kutoka Kenya na maziwa pia ...na ngano pia...wafanyabishara wetu wachangamke..
La Saba nilimaliza miaka 15 iliyopita...hivyo ulivyovitaja Baadhi vinatoka huko ila makubaliano mengine yamefanyika ili tuendelee kupata vingine...tumefungua nchi jamani, au hamjui?!...Ni lini Juice, viberiti, njiti za kuchokolea meno, viliacha kutoka huko unakokutaja? Samahani hivi la saba ulimaliza lini?
Hapana sibariki wizi...kinachochanyika Sasa siyo wizi ...ni biashara...tunawahitaji zaidi wafanyabiashara kuliko wanavyotuhitaji sisi...nchi imefunguliwa...tunafanya biashara...tunahitaji wawekezaji ...na bidhaa Kama juice...pia tunahitaji ajira. Zikiwemo za ukorokoni...au mwenzangu unaelewa vipi...1954 mkuu unabariki wizi?
Sijawahi kukutana na jitu jinga kama wewe, umekurupuka usingizini? Au hangover ya vile vipombe vya chupa za plastic? Shame on you!!!Acha wivu wa kike mkuu. Hata wakikamatwa you won't gain or lose anything. Kama wewe ni masikini utabaki kuwa masikini tu.
Pombe zote zilizofungwa kwenye plastiki sio nzuri 🤓🤓🤓Sijawahi kukutana na jitu jinga kama wewe, umekurupuka usingizini? Au hangover ya vile vipombe vya chupa za plastic? Shame on you!!!
Sent from my S20 Ultra using JamiiForums mobile app