wizi wa mafuta

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. S

    JamiiForums Tanzania Kwa tuhuma nzito za wizi wa mafuta alizoandika Rose Mayemba, yuko kweli nchini?

    Kupitia Mtandao wa X, Rose Mayemba kawatuhumu waarabu fulani(kaweka picha na majina yao) pamoja na watawala kuwa wanachukua shilingi 544 kwenye kila lita ya mafuta pamoja na tuhuma zingine za mamilioni ya lita za mafuta kutoingizwa kwenye mfumo rasmi na kutoonekana katika takwimu zozote. Kwa...
  2. A

    JamiiForums Tanzania HOJA Serikali ikomeshe biashara ya wizi wa mafuta kwenye magari makubwa maeneo ya Manyoni na Singida

    Wilaya ya Manyoni mkoani Singida inakabiliwa na tishio kubwa la kiusalama na kiuchumi kufuatia kushamiri kwa mtandao hatari wa wizi wa mafuta unaofanywa na baadhi ya madereva wa magari makubwa ya masanduku na yale ya kusafirisha mafuta kuelekea mikoa ya jirani na nchi za nje. Uchunguzi na...
  3. McLaren

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Maafisa 4 wa Jeshi la Uganda (UPDF) Washtakiwa kwa Wizi wa Mafuta ya Jeshi

    Maafisa wanne wa ngazi za juu katika Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Uganda (UPDF) wamefikishwa mbele ya Mahakama ya Kijeshi mjini Makindye, wakikabiliwa na mashtaka ya kuiba mafuta ya jeshi kwa ajili ya matumizi yao binafsi. Wanaotuhumiwa ni: Brigedia Jenerali James Barigye Ruheesi (60)...
  4. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Dc Sumbawanga: Akagua ujenzi wa uwanja wa ndege wa Sumbawanga, atoa onyo dhidi ya wizi wa mafuta

    Mkuu wa Wilaya ya Sumbawanga amefanya ziara katika eneo la ujenzi wa Uwanja wa Ndege wa Sumbawanga, ambapo ametumia fursa hiyo kuonya vikali vitendo vya wizi wa mafuta ya magari vinavyodaiwa kufanywa na baadhi ya watumishi walioko katika eneo hilo. Katika ziara hiyo, Mkuu wa Wilaya amewataka...
  5. Mtoa Taarifa

    JamiiForums Tanzania Dereva wa Mamlaka ya Bandari na wenzake wafikishwa Kizimbani kwa Wizi wa Mafuta lita Milioni 9

    DEREVA wa Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA) ,Tino Ndekela na wenzake saba, wamefikishwa mahakamani wakikabiliwa na mashitaka 20 liliwemo la wizi wa mafuta ya Petrol na dizel zaidi ya lota milioni 9.9 na kuisababishia hasara Kampuni ya Kimataifa ya kuhifadhi Mafuta (TIPER) Tanzania ya zaidi ya sh...
  6. BUSH BIN LADEN

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Meli ya Tanzania inashikiliwa na vikosi vya Iran kwa wizi wa mafuta

    Habari wana jukwaa? Inasemekana meli moja inayopeperusha bendera ya Tanzania imekamatwa na vikosi vya wana maji vya Iran ikiwa na shehena ya mafuta ghafi ipatayo tani 900 ambayo ni ya wizi. --- Iran's Revolutionary Guards seized a tanker holding 900 metric tons of "smuggled fuel" and 12 crew...
  7. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Wafanyakazi wa Boma la Mafuta (EACOP) wafikishwa Mahakamani kwa wizi wa Mafuta Lita 7,441

    Ni Wafanyakazi 4 wa Kampuni ya JV Spek LTD inayojenga mradi mkubwa wa Bomba la Mafuta kutoka Uganda hadi Tanga, Tanzania wamefikishwa mbele ya Mahakama ya Hakimu Mkazi Wilaya ya Igunga, Tabora. Watuhumiwa hao ni pamoja na waongoza Mitambo Ally Said (36), Samwel Mtenga (35), Awadh Mrango (36) na...
  8. MK254

    JamiiForums Tanzania Bunge la Nigeria lajadili wizi mkubwa sana wa mafuta uliofanywa na China

    Hii China ambayo huonwa kama kimbilio la Afrika, kila mnapoisuta Marekani lazima mtaje China kama mbadala. Nigerian lawmakers have begun a probe into the sale of stolen 48 million barrels of crude oil to China. “It is quite alarming that illegal deals with China cost Nigeria $2.4 billion...
  9. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Shinyanga: Askari watuhumiwa kuvujisha siri za Wananchi wanaotoa taarifa za wizi wa mafuta ya SGR

    Imebainika kuwa baadhi ya askari wa Shinyanga wanavujisha taarifa za siri zinazotolewa na wananchi juu ya wahalifu wakiwemo wezi wa mafuta katika ujenzi wa reli ya kisasa ya SGR. Wakizungumza na Kamanda wa Polisi Mkoa wa Shinyanga, ACP Janeth Magomi baadhi ya Wananchi wamedai kuwa wizi...
  10. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Morogoro: Madiwani wamsimamisha kazi Mganga Mkuu kwa tuhuma za wizi wa mafuta

    Baraza la Madiwani Halmashauri ya Wilaya ya Gairo Mkoani Morogoro imemsimamisha kazi Mganga Mkuu wa Wilaya hiyo, Dustan Mshana kwa tuhuma ya wizi wa mafuta lita 100, kununua kumpyuta chakavu pamoja na kutosimamia vizuri idara yake hiyo. Mwenyekiti wa halmashauri hiyo, Rachael Nyangasi, alisema...
  11. Tajiri wa kinyankole

    JamiiForums Tanzania Nani yuko nyuma ya hujuma dhidi ya Bomba la Mafuta la Kigamboni?

    Kutokana hali iliyopo sasa, ikumbukwe kwamba mkuu wa mkoa Dar es Salaam, Amos Makalla juzi alikuta bomba la mafuta wilaya ya Kigamboni watu ambao hakuwagaja wamejiunganishia mafuta cha ajabu yeye alikamata watu mbalimbali na kusema kwamba ataunda kamati juu ya suala hilo. Tangu azungumzie swala...
  12. S

    JamiiForums Tanzania Hili la wizi wa mafuta TPA linaumiza vichwa

    Kwanza kabisa nimpongeze DC wa Kigamboni kwa swala zima la kuwabaini wezi wa mafuta kwenye mabomba ya mafuta ya mamlaka ya Bandari tanzania (TPA) kule Kigamboni cha kushangaza kabisa eti TPA nao wanadiriki kupongeza juhudi za mkuu wa Wilaya katika kuwabaini wezi wa mafuta. Hii ni aibu kubwa...
  13. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Uchambuzi: Bomba la mafuta ya wizi Ungindoni, Kigamboni

    Nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya muunganiko! MATAGA pia natumai hamjambo! Rejea mada hii: BLINDSPOT: Uchochoro wa kupiga popote Kukamatwa kwa bomba hili kwa bahati nasibu tuu ni mwendelezo wa ufunuo wa udhaifu wa serikali ya awamu ya tano iliyojinasibu kudhibiti wizi, rushwa, upigaji na...
  14. Geza Ulole

    JamiiForums Tanzania Jinsi Serikali inavyoweza kuzuia wizi wa mafuta Kigamboni

    Kwako mama Samia, Inasikitisha kuona wizi wa mafuta bado upo tena sasa ni unaendelea kuwadhulumu wafanyabiashara wa mafuta wanaotumia Kurasini Oil Jetty yaani baada ya kusomeka katika flowmeter mafuta yananyonywa na wanaonunua wanabaki wakipata mafuta pungufu. Hii si sawa!! Nashauri bomba lote...
  15. 2019

    JamiiForums Tanzania Kigamboni: Watuhumiwa kutandaza mabomba na kuiba mafuta yanayoenda bandarini

    Mkuu wa wilaya ya Kigamboni, Sarah Msafiri akiwa na kamati ya Ulinzi na usalama wamebaini nyumba iliyopo mtaa wa Ugindoni iliyotandazwa mashine zinazotumika kuchimba visima vya maji lakini badala ya kuchimba chini kuelekea maji yalipo, wanachimba kuelekea usawa yalipo mabomba ya mafuta...
Back
Top Bottom