Kwa tuhuma nzito za wizi wa mafuta alizoandika Rose Mayemba, yuko kweli nchini?

Salary Slip

Platinum Member
Joined
Apr 3, 2012
Posts
52,828
Reaction score
165,667
Kupitia Mtandao wa X, Rose Mayemba kawatuhumu waarabu fulani(kaweka picha na majina yao) pamoja na watawala kuwa wanachukua shilingi 544 kwenye kila lita ya mafuta pamoja na tuhuma zingine za mamilioni ya lita za mafuta kutoingizwa kwenye mfumo rasmi na kutoonekana katika takwimu zozote.

Kwa tuhuma nzito kama hizi, najiuliza kama Rose Mayemba yuko humu nchini

Kama yupo, atasalimika?

Kama yupo, huu kwangu ni ushahidii kuwa kuteka na kuuwa wakosoaji sio silaha ya kunyamazisha watu bali vitendo hivi huzalisha chuki na hasira na zaid kuwapa watu ujasiri wa kuendelea kusema kwa gharama yoyoyte ile
 
ni vizuri kupuuza uzushi, uongo na porojo za kutafuta kiki za vibaraka wa mabwenyenye ya magharibi mitandaoni 🐒
 
Hakuna jipya hapo,, ni kupandishana tu Epinephrine..
wananchi
hawastushwi na hizi taarifa,,, what is the way forward ?
 
Kupitia Mtandao wa X, Rose Mayemba kawatuhumu waarabu fulani(kaweka picha na majina yao) pamoja na watawala kuwa wanachukua shilingi 544 kwenye kila lita ya mafuta pamoja na tuhuma zingine za mamilioni ya lita za mafuta kutoingizwa kwenye mfumo rasmi na kutoonekana katika takwimu zozote.

Kwa tuhuma nzito kama hizi, najiuliza kama Rose Mayemba yuko humu nchini

Kama yupo, atasalimika?

Kama yupo, huu kwangu ni ushahidii kuwa kuteka na kuuwa wakosoaji sio silaha ya kunyamazisha watu bali vitendo hivi huzalisha chuki na hasira na zaid kuwapa watu ujasiri wa kuendelea kusema kwa gharama yoyoyte ile
Huu ni ujasiri wa kutisha kupambana na mafioso cartel ya Waarabu hawa.
 
Back
Top Bottom