Anonymous Caller
JF-Expert Member
- Sep 8, 2016
- 1,434
- 1,930
Hivi alikwenda wapi RoseHAYUPO nchini siku nyingi
Hivi alikwenda wapi RoseHAYUPO nchini siku nyingi
Si uwataje hapa na picha zao!? Nasi tuwajue!fulani(kaweka picha na majina yao)
Lisipofanyika jambo na Samia akaachwa hadi 2030 hakika ataicha Tanganyika katika hali mbaya kiuchumi na kiusalama.Wahuni wameshaiteka nchi. Hadi ifike 2030 wananchi tutatendea haki
Deni litakaloachwa, ukilinganisha na rasilimali lukuki zilizoporwa, kwa mkupuo kama Bandari, mbuga , gas, carbon, makaa ya mawe, madini nk na kushikiliwa mikononi mwa wachache ,,, sijui watoto na wajukuu wetu watalilipa na nini.Lisipofanyika jambo na Samia akaachwa hadi 2030 hakika ataicha Tanganyika katika hali mbaya kiuchumi na kiusalama.
Inasikitisha sana.Deni litakaloachwa, ukilinganisha na rasilimali lukuki zilizoporwa, kwa mkupuo kama Bandari, mbuga , gas, carbon, makaa ya mawe, madini nk na kushikiliwa mikononi mwa wachache ,,, sijui watoto na wajukuu wetu watalilipa na nini.
Watu wachache sana wanamiliki uchumi mkubwa mno, na asilimia kubwa ya Watanganyika ni makapuku wavaa ndala, wasioweza kulipa ada za Shule, mlo wa siku Wala matibabu na kujenga nyumba ni ndoto hata kodi tu ya nyumba ni mtihani, ajira ndiyo msamiati mpya kabisa.
Maskini Tanganyika. Nyerere afufuke aone vituko, viwanda vyake waliviuza akiwepo,(mstaafu) rasilimali zake wamezipora akiwa ameondoka.
Na yule mkuu wa wilaya naona kapigwa chini hii nchi konyo sana aisee.Lile bomba la mafuta linaloingia nyumba ya mtu kurasini ulisikia tena habari zake?
Hauko consistent,mara nani huyo Rose mara kaniokoa sijui ninaah yule mdada wa njombe yuko fea sana ashawahi kuniokoa kwenye kesi moja hivi ya mbao kule njombe