Kwani Magufuli aliwahi kusema wizi serikalini umeisha?Vita dhidi ya ufisadi ni endelevu. JPM alipambana kwa nafasi yake na alifanikiwa pakubwa. Sote tunakumbuka sakata la Flowmeter ya mafuta na yule mwarabu wa Kigamboni aliyekua katoboa Bomba la Mafuta na kuyachanel kwake. Ni mjinga tuu atakayemlaum Magu katika hili.
Hujui chochote mradi wake huo through Kakoko...
Mwarabu gani...?
Hii imevumbuliwa ktk ufuatiliaji...wa Mama.
Unafikiri kwa nn bado Kakoko yupo ndani ?
Mama hafoki foki...
JPM angekuwa sio jambazi hao akina Sabaya wangefanya yote haya tunayasikia....leo