Kigamboni: Watuhumiwa kutandaza mabomba na kuiba mafuta yanayoenda bandarini

Kigamboni: Watuhumiwa kutandaza mabomba na kuiba mafuta yanayoenda bandarini

Mkuu, tafuta anonymous method ureport izo taarifa huo ndio ulinzi wa taifa letu, trust me wapo waliopewa dhamana na ni watiifu sana
Hakuna kitu Kama hicho mwaka juz nimepoteza rafiki wa karibu kwa mazngira haya ya kureport taarifa nyet Sana pccb matokeo yake mean kauwawa kinyama Sana

Tupo tunaoipenda nchi yetu lakn UHAI naupenda Zaid mkuu
 
Hawa wezi ,Basi wakamatwe kwanza mali zao zote zitaifishwe, pili walipe pesa ya lita 60 kila siku KWA miaka miwili na nusu the wapewe cheti Cha wezi bora Tz ,wasifungwe
Hakamatwi mtu pale, kwa mazingira pale yalivyo
Inaonesha mhusika ni mtu mzito sana

Ova
 
Hakuna kitu Kama hicho mwaka juz nimepoteza rafiki wa karibu kwa mazngira haya ya kureport taarifa nyet Sana pccb matokeo yake mean kauwawa kinyama Sana

Tupo tunaoipenda nchi yetu lakn UHAI naupenda Zaid mkuu
Pole sana...duh
Haya mambo ya kujifanya mzalendo wakati mwingine yanaweza kukugeukia

Ova
 
Hahaha sawa mkuu kalamu1 baki na akili zako tuache sisi vilaza tuangalie jinsi ya kuishi hapa mjini
Jichunge sana, lawama na laana ya waTanzania maskini wa nchi hii mnaowadhurumu haki zao zisiwatafune mungali hai na huko mtakakoishia jehenamu..
 
Hakamatwi mtu pale, kwa mazingira pale yalivyo
Inaonesha mhusika ni mtu mzito sana

Ova
Ikitokea kama unavyotabiri, nitashangaa sana tunapoelekea nchi hii.

Ikiwa hivyo, hakika hatutapona.

Awe mzito gani huyo, Kikwete mwenyewe?
 
Ikitokea kama unavyotabiri, nitashangaa sana tunapoelekea nchi hii.

Ikiwa hivyo, hakika hatutapona.

Awe mzito gani huyo, Kikwete mwenyewe?
Huyu inaelekea michongo hiyo kaanza kufanya muda sana ,hajaanza jana wala juzi

Utashanga choka mbaya mbuzi wa kafara ndiyo watawekwa ubaoni

Ova
 
Jichunge sana, lawama na laana ya waTanzania maskini wa nchi hii mnaowadhurumu haki zao zisiwatafune mungali hai na huko mtakakoishia jehenamu..
ebu pita hivi..

unaaanza kuongea habari za laana sahivi. nini shida? maisha magumu au stress tu?
 
Pole sana...duh
Haya mambo ya kujifanya mzalendo wakati mwingine yanaweza kukugeukia

Ova
Asante mkuu hyo ishu ya hapo ungindoni ilikuwa inajulikana mda sna mkuu sema nadhan wameharibiana wenyewe wakubwa

DAB anajua mchongo mzma na ndio waliokuwa wakimweka mjin na alilifumbia macho

Ukienda pale ungindon uliza vijana watakupa mkanda mzma
 
ebu pita hivi..

unaaanza kuongea habari za laana sahivi. nini shida? maisha magumu au stress tu?
Kama unajihusisha na dhuruma kwa waTanzania, hutabaki salama mkuu, huo ndio ukweli wenyewe.

Yafikirie tu kwa makini haya, wala siyo mambo ya mzaha mzaha tuliyo na mazoea nayo.

It is serious business.

Kama hayakuhusu, tuyaachie hapa hapa.
 
Asante mkuu hyo ishu ya hapo ungindoni ilikuwa inajulikana mda sna mkuu sema nadhan wameharibiana wenyewe wakubwa

DAB anajua mchongo mzma na ndio waliokuwa wakimweka mjin na alilifumbia macho

Ukienda pale ungindon uliza vijana watakupa mkanda mzma
Kwa jinsi mazingira yalivyo issue pale imekuwa ikipigwa kitambo sana
Kuna matukio mengi watu wanayaona ukisema uyalete humu au unreported sana sana utageuziwa kibao wewe au kuingia matatani

Ova
 
Punguzeni chuki kwa marehemu.. Mumejazwa chuki dhidi yake kias cha kumchukia kwa kila kosa na makosa ambayo hausiki nayo..

Hapo mwendazake anahusika vipi? Mbona hata kipindi chake alishawahi kukamata watu kama hao na ndio hao mlikuwa mnalaumu kuwa anawabambikia kesi? Ndio haohao leo hii wanafunguliwa A/C zao na mnashangilia??

Lakn naamini Jpm sio bure, iko siku midomo na vidole hivi vinamuandika vibaya siku itafika vitakuja kuandika kulilia uwepo wake na midomo itakuja kutamka umuhimu wa uwepo wake.
Acha kupotosha watu, wale waliokamatwa wakifanya mchezo huo maeneo ya kurasini walihukumiwa jela au kulipa faini na wakalipa wakatoka, sasa suala la kumfungulia mtu a/c zake linahusika vipi hapa?mtu kama akitiwa hatiani adhibiwe tena jela na sio hiyo biashara ya plea bargain, mliyoanzisha.Uzuri wa awamu hii mambo yako hadharani, kwenye vyombo vya habari, watu wanaona, hapo sasa MATAGA, ndio unawasikia daaaa, yaani mala hii tu upigaji umeanza tena baada ya meko kufariki, ili mama aonekane dhaifu!!kumbe hayo mambo yalikuwepo tu sema yalifichwa ili ionekane aliyadhibiti!!!acheni hizo, kwa kipi alichokifanya cha ajabu??
 
Hii project inaonekana muhusika alikuwa na mtaji wakutosha sana kuifanya

Alafu inaonekana Wahusika kwenye hii project huwa wanapata taarifa moja kwa moja toka kitengo cha mafuta kuwa leo mafuta yanafika au yanapakuliwa
 
Kwa jinsi mazingira yalivyo issue pale imekuwa ikipigwa kitambo sana
Kuna matukio mengi watu wanayaona ukisema uyalete humu au unreported sana sana utageuziwa kibao wewe au kuingia matatani

Ova
Lakiiini, mkuu 'mrangi' kuna kitu bado sikielewi jinsi hili jambo lilivyojitokeza.

Hii ni 'scandal' kubwa saaana, tena inayopiga panapouma kabisa. Wizi mkubwa kabisa.

Sasa fikiria mtu anayesimama na kulizungumzia swala hili ni huyo Binti, Mkuu wa Wilaya, sijui na timu yake ya nini? Ulinzi!

Hivi kuna polisi walijihusisha, au ndio hao wenye bunduki?

Something does not add up!
 
Kweli bado tuko nyuma sana au ndio njia za kupumbaza watu

Hapo kabla ya kuingia hapo ilikuwa waweke makachero na kupiga picha za kurekodi mienendo yote na ni nani anaingia na kutoka
Wangefanikisha kumdaka Boss mwenyewe kiulaini ila sasa kufanya hivyo maana yake ni kumwambia Boss kimbia kimeumana

Nionavyo hapa hakuna kitu watakamatwa walinzi na mwenye nyumba tu
Labda wawe na njia zingine za kumuwinda huyo Don
Siyo kwamba wapo nyuma ni rushwa tu.Hii hamishahamisha ya mapolisi leo huyu ni Rpc Mara kesho kapandishwa mwingine akaletwa tuombe iwe ya kutokomeza huu uhuni na siyo kuuficha.
 
Mimi nimeshangaa pia ili swala limeongozwa na DC bila shaka huu mchezo uko Known, Bongo tuancheza sana aisee juzi kuna pipeline fulani zilikuwa hacked kule US kwenye states fulani, na hio state ika declare state of Emergency, Sisi hatuna attention na nishati soma hata National policy ya nishati utajiona, tunasahau bila nishati hata ulinzi hauwezekaniki
It’s amazing jinsi ili swala linavyochukuliwa Tanzania. Sio U.S tu kitu kama icho kikitokea U.K. waziri mkuu anaita COBRA meeting kukutana na wakuu wa vyombo vya ulinzi how was that possible.

Na hizo nchi infrastructures za mafuta tunazoziona ni first line of defence. Wana underground reserve za siri size ya football pitches zimetapakaa nchi nzima ikitokea wanaingia kwenye vita.

Sisi kwetu poa tu kuvamia njia hizo hizo zinazotegemea ulinzi na uchumi not sure kama wanaelewa mtu akilipua hiyo miundombinu ya pipe line hapo bandarini ata kama ni tukio la ugaidi tu, madhara yake kiuchumi yatakuaje; storage tank za makampuni makubwa zote zipo hapo bandarini ya dar na uwezo wenyewe ni kutunza mafuta ya mwezi mmoja tu, wakati IEA inazitaka nchi ziwe na facilities za kuwa na infrastructures za kuifadhi mafuta kwa miezi mitatu.

Mambo mengine yanawezekana africa tu halafu wenyewe watakwambia ulinzi wetu imara, sio imara watu hawana sababu tu za kuangaika na nchi maskini.

National security bado tupo nyuma sana,
 
Hii scandal ilitakiwa aivumbue PM au mama mwenyewe ... kama vipi PM atembelee eneo
 
Back
Top Bottom