Kigeugeu cha Joseph Msukuma, Sophia Simba na Nchimbi

VUTA-NKUVUTE vipi waliokua mbele kutuaminisha kua lowassa fisadi leo wamegeuka wanamkumbatia.
Na vipi waliokuwa waliokuwa wanamlinda na kumtetea kwa nguvu zote na leo wanataka kutuaminisha kuwa ni fisadi??
 
Mwaka wa mabadiliko tutasikia mengi na kuona mengi ila Mungu anakwenda kutenda nchi inakwenda kupata kiongozi tunayemuhitaji kutokana na kura zetu
 
Hata Sumaye Mr. Zero alisema wakimpitisha EL kugombea Uraisi anahama chama nadhani umeelewa kilichotokea. Baada ya kupitishwa Magufuli kiboko cha Mafisadi ikabidi atimke mbio anaijua vyema kazi ya Magufuli
 
Sasa naona mashudu yanazidi. Je mnaushahidi tukiwaweka lockup sasa mnaweza kujinasua kwa vielelezo. Acheni kutukana watu. Mtu mwenyewe unayetukana kuwa zero mwenzako wewe hujajichunguza kama uko poa.
 
Umesahau kuwa wafanyabiashara za kifisadi wamemkimbia Tingatinga Magufuli na sasa wapo na fisadi mwenzao UKAWA?UKAWA sasa ndio chama cha mafisadi hao.


Chagua TingaTinga Magufuli,huyu ndio kiboko yao,Mwaka huu wataisoma namba.
Mzee wa push up akiacha kuwanadi Mama Tibaijuka na Bw Chenge katika harakati zao za kutetea viti vyao vya ubunge, hapo nitaamini hiyo propoganda yenu kuwa ni kiboko ya mafisadi. Vinginevyo, hizi zitabikia kuwa propoganda kongwe za chama kikongwe
 

We si ulisema jana wanakwenda kwenye Press conference Bahari beach kwenye "Toroka uje" yenu aliyoandaliwa na mafisadi akina Karamagi! Sasa unalialia nini? Mtu ukiwa muongo usiwe msahaulifu! Mtu mwenye akili timamu hawezi kuwaunga mkono mafisadi, Mtasubiri sana wapinzani.
 
wewe mzee mwenzangu naona huko jikoni mambo bado ni mengi ya kutupakulia...endelea mpaka kieleweke!
 

Mzee umechemsha!
 
Msukuma alishatajwa sana kwenye biashara za wale ndugu zetu tunaowapigania maisha yao bila mafanikio
 

Hata wewe mwenyewe una sifa zote za upopo ..una njaa sana zinakusumbua na ipo siku utashughulikiwa kwa kazi yako hii
 
Hisia zako tu zinakusumbua.
Au labda
kuna kilicho jificha nyuma yako.
 
CCM ishakufa long time ago, mazishi tar.25 mwezi huu kwani we hujui?!!
 

kaaa na ujinga wako nani kakwambia msukuma anagombea ubunge usituletee taarifa za magazetn apa wapelekee wajinga wenzako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…