Kigeugeu cha Joseph Msukuma, Sophia Simba na Nchimbi

Kigeugeu cha Joseph Msukuma, Sophia Simba na Nchimbi

Mzee wa push up akiacha kuwanadi Mama Tibaijuka na Bw Chenge katika harakati zao za kutetea viti vyao vya ubunge, hapo nitaamini hiyo propoganda yenu kuwa ni kiboko ya mafisadi. Vinginevyo, hizi zitabikia kuwa propoganda kongwe za chama kikongwe



Sawa Kabisa! Na Mm Namsubiria Kwa Hamu Hapooo!
 
Msukuma, Nchimbi na Ghasia ni ccm mchana usiku wapo ukawa hata Magufuli analitambua hili suala.
 
Mkuu pia Nchimbi alipewa na ccm yake adhabu ya miezi 36 asijihusishe na siasa. Ndiyo maana wakamchinjilia mbali ubunge wa Songea Mjini.
Cha ajabu nikaona anamnadi Mapadlock kule Songea. CCM ni sheeeedah!!
 
Mzee Tupa Tupa naona na wewe umehama kabisa siku hizi...

Hajahama bali ana jaribu kuongea kile anacho kiamini. " Nitasema ukweli Daima uongo na fitna kwangu mwiko" Hili tuendelee kulisimamia.
 
uchambuzi wako upo makini Sana Kama sisiem vilee
 

muarobaini wa mafisadi waliouza nyumba za serikali au walioiba mabillion kwenye wizara ya ujenzi kwa mujibu wa report ya CAG?

Unajua karibu watu wote walio CCM wanatembea na vitanzi, ndio maana mtu kutoka huko ni shida. Na ndio maana mimi nasema Lowassa anafaa kuwa rais kwasababu angekuwa na record mbaya ungekuta CCM wamesgazitoa. Na ndio maana Zitto, Lipumba na Slaa hawatakaa waichachafye tena CCM kiukweli kwasababu wan vitanzi ambavyo CCM inaweza kuvifyatua saa yoyote watakayoleta kidomo
 
Alisema hivi:https://www.youtube.com/watch?v=4CFDwaH3EPM Halafu, akasema hivi:https://www.youtube.com/watch?v=gU29hxl-e9Y. Unajua kwanini? Ngoja niwaambie. Joseph Msukuma, Mwenyekiti wa CCM Geita na mgombea wa Ubunge hukohuko Geita ni mfanyabiashara.

Baada ya Joseph Msukuma kujiweka mbele kama mtetezi wa Lowassa na hata kuendelea kumsupport Lowassa hata alipobaki CCM, CCM ikautumia mkono wa chuma. Ikambana kwenye biashara zake. Kupitia TRA.Msukuma hakulipa kodi kwa miaka takribani saba. Aliachwa kwakuwa ni wa CCM. Alipoleta za kuleta akabanwa. Mabilioni ya kodi yakamshinda kulipa na kuamua kujisalimisha.

Msukuma si wa kuaminika kama alivyo Sophia Simba na Emmanuel Nchimbi. Sophia Simba 'alisusiwa' msiba wa nduguye na kuogopa. Akajisalimisha. Nchimbi naye akaogopa kupoteza alivyovichuma akiwa CCM. Akafyata mkia. Ni hao pamoja na Adam Kimbisa ndiyo waliojitokeza hadharani kupinga maamuzi ya Kamati Kuu ya CCM. Hawaaminiki. Lakini, hawa wamekuwa wanachama wa CCM kwa woga tu. Mioyoni mwao wameshahama.

Hiyo ndiyo CCM yetu ilikofika. Kuwa na wanachama wa kuwalazimisha!

Mzee Tupatupa wa Lumumba, Dar es Salaam

Mzee Tupatupa,

Nikilisoma andiko lako Nchimbi, Sofia, Msukuma e.t.c Hawajalazimishwa.

Kwa kulingana na bandiko lako ni njaa zao, uoga wao, uchu wao na kukosa uzalendo ndio ambako kumewaka ccm hadi leo.

Tena nikikusoma vizuri wamekaa ccm kinafiki huku mioyo yao ikiwa ukawa.

Hilo ni kosa lao na madhambi yao kwa jamii. Wasimlaumu mtu kwa udhalimu wap wenyewe.
 
VUTA-NKUVUTE vipi waliokua mbele kutuaminisha kua lowassa fisadi leo wamegeuka wanamkumbatia.

Kapombe vipi waliokuwa wakimtukana dk SlAA na kutuaminisha kuwa ni padri mzinifu na mwizi wa wake za watu leo hii meno nje nje wakimshangilia na kumpa tenda za kukinusuru chama chao?????????????????????????????
 
Alisema hivi:https://www.youtube.com/watch?v=4CFDwaH3EPM Halafu, akasema hivi:https://www.youtube.com/watch?v=gU29hxl-e9Y. Unajua kwanini? Ngoja niwaambie. Joseph Msukuma, Mwenyekiti wa CCM Geita na mgombea wa Ubunge hukohuko Geita ni mfanyabiashara.

Baada ya Joseph Msukuma kujiweka mbele kama mtetezi wa Lowassa na hata kuendelea kumsupport Lowassa hata alipobaki CCM, CCM ikautumia mkono wa chuma. Ikambana kwenye biashara zake. Kupitia TRA.Msukuma hakulipi





ila huyu mzee ni mnafiki sana,,,msukuma hawezi kuwa upande wa lowasa akaacha kumkampenia magufuli,,,kipindi yuko kwa?lowasa mgombea alikua bado hajapatikana na hivyo msukuma bado alikuwa yuko sawa..
nchimbi na sofia vilevile wametumia kitu kinaitwa COMMON SENSE kutomfuata lowasa.
Hta hii ni Common sense ya Tanzanian police...

https//www.youtube.com/ffe52f19-de37-48f8-a852-165873286865

blob:https%3A//www.youtube.com/ffe52f19-de37-48f8-a852-165873286865

 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Yametimia
 
Lakin c waliitwa chawino wakapewa sambusa mambo yameisha we umewasikia wakilalamika tena
 
Nimekwama, ila habari za Mbatia tuliwahi kuambiwa na Mdee kwenye mkutano wa hadhara hadi Mbatia akafungua kesi.
Hivi mdee ni mwanamke au mwanaume? Kuuliza si ujinga
 
Back
Top Bottom