Mzee wa push up akiacha kuwanadi Mama Tibaijuka na Bw Chenge katika harakati zao za kutetea viti vyao vya ubunge, hapo nitaamini hiyo propoganda yenu kuwa ni kiboko ya mafisadi. Vinginevyo, hizi zitabikia kuwa propoganda kongwe za chama kikongwe
Mzee Tupa Tupa naona na wewe umehama kabisa siku hizi...
muarobaini wa mafisadi waliouza nyumba za serikali au walioiba mabillion kwenye wizara ya ujenzi kwa mujibu wa report ya CAG?
Alisema hivi:https://www.youtube.com/watch?v=4CFDwaH3EPM Halafu, akasema hivi:https://www.youtube.com/watch?v=gU29hxl-e9Y. Unajua kwanini? Ngoja niwaambie. Joseph Msukuma, Mwenyekiti wa CCM Geita na mgombea wa Ubunge hukohuko Geita ni mfanyabiashara.
Baada ya Joseph Msukuma kujiweka mbele kama mtetezi wa Lowassa na hata kuendelea kumsupport Lowassa hata alipobaki CCM, CCM ikautumia mkono wa chuma. Ikambana kwenye biashara zake. Kupitia TRA.Msukuma hakulipa kodi kwa miaka takribani saba. Aliachwa kwakuwa ni wa CCM. Alipoleta za kuleta akabanwa. Mabilioni ya kodi yakamshinda kulipa na kuamua kujisalimisha.
Msukuma si wa kuaminika kama alivyo Sophia Simba na Emmanuel Nchimbi. Sophia Simba 'alisusiwa' msiba wa nduguye na kuogopa. Akajisalimisha. Nchimbi naye akaogopa kupoteza alivyovichuma akiwa CCM. Akafyata mkia. Ni hao pamoja na Adam Kimbisa ndiyo waliojitokeza hadharani kupinga maamuzi ya Kamati Kuu ya CCM. Hawaaminiki. Lakini, hawa wamekuwa wanachama wa CCM kwa woga tu. Mioyoni mwao wameshahama.
Hiyo ndiyo CCM yetu ilikofika. Kuwa na wanachama wa kuwalazimisha!
Mzee Tupatupa wa Lumumba, Dar es Salaam
VUTA-NKUVUTE vipi waliokua mbele kutuaminisha kua lowassa fisadi leo wamegeuka wanamkumbatia.
Hta hii ni Common sense ya Tanzanian police...Alisema hivi:https://www.youtube.com/watch?v=4CFDwaH3EPM Halafu, akasema hivi:https://www.youtube.com/watch?v=gU29hxl-e9Y. Unajua kwanini? Ngoja niwaambie. Joseph Msukuma, Mwenyekiti wa CCM Geita na mgombea wa Ubunge hukohuko Geita ni mfanyabiashara.
Baada ya Joseph Msukuma kujiweka mbele kama mtetezi wa Lowassa na hata kuendelea kumsupport Lowassa hata alipobaki CCM, CCM ikautumia mkono wa chuma. Ikambana kwenye biashara zake. Kupitia TRA.Msukuma hakulipi
ila huyu mzee ni mnafiki sana,,,msukuma hawezi kuwa upande wa lowasa akaacha kumkampenia magufuli,,,kipindi yuko kwa?lowasa mgombea alikua bado hajapatikana na hivyo msukuma bado alikuwa yuko sawa..
nchimbi na sofia vilevile wametumia kitu kinaitwa COMMON SENSE kutomfuata lowasa.
https//www.youtube.com/ffe52f19-de37-48f8-a852-165873286865
blob:https%3A//www.youtube.com/ffe52f19-de37-48f8-a852-165873286865
Msukuma, Nchimbi na Ghasia ni ccm mchana usiku wapo ukawa hata Magufuli analitambua hili suala.
Ni dhahiri sasa mambo haya[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Yametimia
Hivi mdee ni mwanamke au mwanaume? Kuuliza si ujingaNimekwama, ila habari za Mbatia tuliwahi kuambiwa na Mdee kwenye mkutano wa hadhara hadi Mbatia akafungua kesi.
Ingependeza sasa tujue.Nasikia Nchimbi walimtisha kuuanika uovu wake juu ya aliyekuwa kiongozi mmoja wa NCCR Mageuzi akaufyata!!!
Nimecheka sn mkuu daaahAlimkula Mbatia?