Dunia kubwa hii ndugu, kuna mahalla ndiyo wanaamka, wengine ndiyo wanaenda lunch, huko kwingine mmelala.Umekosa usingizi wewe mtoto wa Wasira..pole sana
Yaani unalinganisha mwanasiasa na mtu anayefanya kazi kila siku?Kuna sababu gani ya msingi kumuondoa ofisini mtu mwenye taaluma na ujuzi wake ktk umri wa miaka 60, rais wa nchi (kazi ngumu zaidi) ana zaidi ya miaka 60?
Samia ana miaka 63.
Wasira ana miaka 81.
Wana nyadhifa kubwa zinzoamua mustakabali wa watanzania.
Kwann watumishi wa chini huku wanastaafishwa ktk umri wa miaka 60?
Hata huko duniani,
1. Trump ana miaka 79
2. Ayatollah ana miaka 85.
3. Netanyahu ana miaka 75.
Wote hawa wako madarakani na wanafanya vizuri.
Mitaani huko wafanyabiashara, wakulima na wafugaji wana miaka zaidi ya 60 lkn ndiyo kwanza wanaendelea kukuza mitaji yao. Na wanafanya vizuri.
Basi kuna haja ya kufuta kigezo cha umri ktk kuamua nani astaafu bali hali ya afya ya mtu ama kifo ndiyo kiamue
Nimeweka mpk wakulima na wafanyabiashara hapoYaani unalinganisha mwanasiasa na mtu anayefanya kazi kila siku?
Umesahau Cameroon, Rais wao ana miaka 90 na bado anataka kugombea tena japo haleti maendeleo nchini mwake.Kuna sababu gani ya msingi kumuondoa ofisini mtu mwenye taaluma na ujuzi wake ktk umri wa miaka 60, rais wa nchi (kazi ngumu zaidi) ana zaidi ya miaka 60?
Samia ana miaka 63.
Wasira ana miaka 81.
Wana nyadhifa kubwa zinzoamua mustakabali wa watanzania.
Kwann watumishi wa chini huku wanastaafishwa ktk umri wa miaka 60?
Hata huko duniani,
1. Trump ana miaka 79
2. Ayatollah ana miaka 85.
3. Netanyahu ana miaka 75.
Wote hawa wako madarakani na wanafanya vizuri.
Mitaani huko wafanyabiashara, wakulima na wafugaji wana miaka zaidi ya 60 lkn ndiyo kwanza wanaendelea kukuza mitaji yao. Na wanafanya vizuri.
Basi kuna haja ya kufuta kigezo cha umri ktk kuamua nani astaafu bali hali ya afya ya mtu ama kifo ndiyo kiamue
HUJU KITU. TATIZO MMESOMA UDOM AMBAPO NI TAKATAKA! WASIRA SIYO MTU NI KAMA STOOGE! AMEINGIA KATIKA AGE YA SENILE IMBECILITY...HE IS AN IMBECILE!Kuna sababu gani ya msingi kumuondoa ofisini mtu mwenye taaluma na ujuzi wake ktk umri wa miaka 60, rais wa nchi (kazi ngumu zaidi) ana zaidi ya miaka 60?
Samia ana miaka 63.
Wasira ana miaka 81.
Wana nyadhifa kubwa zinzoamua mustakabali wa watanzania.
Kwann watumishi wa chini huku wanastaafishwa ktk umri wa miaka 60?
Hata huko duniani,
1. Trump ana miaka 79
2. Ayatollah ana miaka 85.
3. Netanyahu ana miaka 75.
Wote hawa wako madarakani na wanafanya vizuri.
Mitaani huko wafanyabiashara, wakulima na wafugaji wana miaka zaidi ya 60 lkn ndiyo kwanza wanaendelea kukuza mitaji yao. Na wanafanya vizuri.
Basi kuna haja ya kufuta kigezo cha umri ktk kuamua nani astaafu bali hali ya afya ya mtu ama kifo ndiyo kiamue
Kweli hata kwenye sekta binafsi hakuna umri, Ni afya tuu ndo inatumika.Nimeweka mpk wakulima na wafanyabiashara hapo
ni kweli kiongozi, mfano mim nimekaa mtaani Zaid ya miaka 12.Kuna sababu gani ya msingi kumuondoa ofisini mtu mwenye taaluma na ujuzi wake ktk umri wa miaka 60, rais wa nchi (kazi ngumu zaidi) ana zaidi ya miaka 60?
Samia ana miaka 63.
Wasira ana miaka 81.
Wana nyadhifa kubwa zinzoamua mustakabali wa watanzania.
Kwann watumishi wa chini huku wanastaafishwa ktk umri wa miaka 60?
Hata huko duniani,
1. Trump ana miaka 79
2. Ayatollah ana miaka 85.
3. Netanyahu ana miaka 75.
Wote hawa wako madarakani na wanafanya vizuri.
Mitaani huko wafanyabiashara, wakulima na wafugaji wana miaka zaidi ya 60 lkn ndiyo kwanza wanaendelea kukuza mitaji yao. Na wanafanya vizuri.
Basi kuna haja ya kufuta kigezo cha umri ktk kuamua nani astaafu bali hali ya afya ya mtu ama kifo ndiyo kiamue
Sasa UDOM hapo imeingiaje kiongozi??, wewe toa mawazo yako sio uchafue vyuo vya watu.. na wew uliyeandika huu uchafu umesoma wapi?HUJU KITU. TATIZO MMESOMA UDOM AMBAPO NI TAKATAKA! WASIRA SIYO MTU NI KAMA STOOGE! AMEINGIA KATIKA AGE YA SENILE IMBECILITY...HE IS AN IMBECILE!
Hao wote uliowataja, ni senile imbecilles!
ndo tatizo la watanzania wakiwa Hawana point basi utawakuta wanajifanya kingereza kiiingi kama wewe,.Wassira is a previous century dinosaur, who cannot satisfy demands of this current generation which prime recipient of the information age.
ndo tatizo la watanzania wakiwa Hawana point basi utawakuta wanajifanya kingereza kiiingi kama wewe,.
ukiambiwa uongee hapo utaanza the the the, not yes , now the going..
ππUmesahau Cameroon, Rais wao ana miaka 90 na bado anataka kugombea tena japo haleti maendeleo nchini mwake.
Kuna sababu gani ya msingi kumuondoa ofisini mtu mwenye taaluma na ujuzi wake ktk umri wa miaka 60, rais wa nchi (kazi ngumu zaidi) ana zaidi ya miaka 60?