kekule benzene
JF-Expert Member
- Sep 28, 2016
- 1,970
- 4,448
Yaani wewe ni mpuuzi sanaHUJU KITU. TATIZO MMESOMA UDOM AMBAPO NI TAKATAKA! WASIRA SIYO MTU NI KAMA STOOGE! AMEINGIA KATIKA AGE YA SENILE IMBECILITY...HE IS AN IMBECILE!
Hao wote uliowataja, ni senile imbecilles!
Napingana na hoja yako, inatakiwa mtu akifanya kazi miaka 20 tu kuwe na option ya kustaafu na apatiwe hela zake zote za mafao akafanyw maisha mengineKuna sababu gani ya msingi kumuondoa ofisini mtu mwenye taaluma na ujuzi wake ktk umri wa miaka 60, rais wa nchi (kazi ngumu zaidi) ana zaidi ya miaka 60?
Samia ana miaka 63.
Wasira ana miaka 81.
Wana nyadhifa kubwa zinzoamua mustakabali wa watanzania.
Kwann watumishi wa chini huku wanastaafishwa ktk umri wa miaka 60?
Hata huko duniani,
1. Trump ana miaka 79
2. Ayatollah ana miaka 85.
3. Netanyahu ana miaka 75.
Wote hawa wako madarakani na wanafanya vizuri.
Mitaani huko wafanyabiashara, wakulima na wafugaji wana miaka zaidi ya 60 lkn ndiyo kwanza wanaendelea kukuza mitaji yao. Na wanafanya vizuri.
Basi kuna haja ya kufuta kigezo cha umri ktk kuamua nani astaafu bali hali ya afya ya mtu ama kifo ndiyo kiamue
WHO yenyewe imeshasema miaka 60 siyo uzee bali ni ujana wa mwishoni na hivyo kustaafu kwa hiari kwenye mashirika ya UN sasa hivi ni miaka 63 na kwa lazima ni 65.Kuna sababu gani ya msingi kumuondoa ofisini mtu mwenye taaluma na ujuzi wake ktk umri wa miaka 60, rais wa nchi (kazi ngumu zaidi) ana zaidi ya miaka 60?
Samia ana miaka 63.
Wasira ana miaka 81.
Wana nyadhifa kubwa zinzoamua mustakabali wa watanzania.
Kwann watumishi wa chini huku wanastaafishwa ktk umri wa miaka 60?
Hata huko duniani,
1. Trump ana miaka 79
2. Ayatollah ana miaka 85.
3. Netanyahu ana miaka 75.
Wote hawa wako madarakani na wanafanya vizuri.
Mitaani huko wafanyabiashara, wakulima na wafugaji wana miaka zaidi ya 60 lkn ndiyo kwanza wanaendelea kukuza mitaji yao. Na wanafanya vizuri.
Basi kuna haja ya kufuta kigezo cha umri ktk kuamua nani astaafu bali hali ya afya ya mtu ama kifo ndiyo kiamue
Nani alikwambia kwamba Makamu mwenyekiti wa chama analipwa mshahara?Mtoto wa wasira keshastaafu utumishi wa Uma baba bado anatinga kwenye pay roll
Unamzungumzia marehemu wasiraKuna sababu gani ya msingi kumuondoa ofisini mtu mwenye taaluma na ujuzi wake ktk umri wa miaka 60, rais wa nchi (kazi ngumu zaidi) ana zaidi ya miaka 60?
Samia ana miaka 63.
Wasira ana miaka 81.
Wana nyadhifa kubwa zinzoamua mustakabali wa watanzania.
Kwann watumishi wa chini huku wanastaafishwa ktk umri wa miaka 60?
Hata huko duniani,
1. Trump ana miaka 79
2. Ayatollah ana miaka 85.
3. Netanyahu ana miaka 75.
Wote hawa wako madarakani na wanafanya vizuri.
Mitaani huko wafanyabiashara, wakulima na wafugaji wana miaka zaidi ya 60 lkn ndiyo kwanza wanaendelea kukuza mitaji yao. Na wanafanya vizuri.
Basi kuna haja ya kufuta kigezo cha umri ktk kuamua nani astaafu bali hali ya afya ya mtu ama kifo ndiyo kiamue
Kumbe UDOM ni chuo cha mtu, sikua najua.sio uchafue vyuo vya watu..
ulijua Cha wadudu!??Kumbe UDOM ni chuo cha mtu, sikua najua.
😂😂😂😂Wakenya walisema tunaongozwa na ancestor ambae ni wasira. Wale jamaa wapuuzi sana
Na kwenye ligi hii refa wao ni Paul Biya asiyetaka kuachia madarakaAfrica tunaongoza kwenye msimamo wa ligi ya marais wazee duniani.
Paul Biya/ Cameron 92
Mumbai / Namibia 83
Quatarra/ Ivory Coast 82
Mbosongo/ Equatorial Guinea 82
Nana Kufo/ Ghana 80
Munangagwa/ Zimbabwe 82
Museveni / Uganda 80
Umemsahau M7 @83Kuna sababu gani ya msingi kumuondoa ofisini mtu mwenye taaluma na ujuzi wake ktk umri wa miaka 60, rais wa nchi (kazi ngumu zaidi) ana zaidi ya miaka 60?
Samia ana miaka 63.
Wasira ana miaka 81.
Wana nyadhifa kubwa zinzoamua mustakabali wa watanzania.
Kwann watumishi wa chini huku wanastaafishwa ktk umri wa miaka 60?
Hata huko duniani,
1. Trump ana miaka 79
2. Ayatollah ana miaka 85.
3. Netanyahu ana miaka 75.
Wote hawa wako madarakani na wanafanya vizuri.
Mitaani huko wafanyabiashara, wakulima na wafugaji wana miaka zaidi ya 60 lkn ndiyo kwanza wanaendelea kukuza mitaji yao. Na wanafanya vizuri.
Basi kuna haja ya kufuta kigezo cha umri ktk kuamua nani astaafu bali hali ya afya ya mtu ama kifo ndiyo kiamue
Kustaafu ni uzwazwa wa kukosa ubunifu. Wasira ana miaka 810 na bado anatumika. Ukitaka kuondoa ujinga wa kustaafu, walazimishe wanasiasa kustaafu. Watafutilia mbali kustaafu kwa sababu kutakuwa kunawahusu.Kuna sababu gani ya msingi kumuondoa ofisini mtu mwenye taaluma na ujuzi wake ktk umri wa miaka 60, rais wa nchi (kazi ngumu zaidi) ana zaidi ya miaka 60?
Samia ana miaka 63.
Wasira ana miaka 81.
Wana nyadhifa kubwa zinzoamua mustakabali wa watanzania.
Kwann watumishi wa chini huku wanastaafishwa ktk umri wa miaka 60?
Hata huko duniani,
1. Trump ana miaka 79
2. Ayatollah ana miaka 85.
3. Netanyahu ana miaka 75.
Wote hawa wako madarakani na wanafanya vizuri.
Mitaani huko wafanyabiashara, wakulima na wafugaji wana miaka zaidi ya 60 lkn ndiyo kwanza wanaendelea kukuza mitaji yao. Na wanafanya vizuri.
Basi kuna haja ya kufuta kigezo cha umri ktk kuamua nani astaafu bali hali ya afya ya mtu ama kifo ndiyo kiamue
Niliona clip moja M7 amepewa panga akate mgomba, ilimchukua saa zima kuuangusha.Umemsahau M7 @83
Rais wa cameroon @94
Huyu Wasira mnayemuona mzee huku kwenye vikao vya kina M7 ndio kijana anayetumwa dukani.
Kwa tulioishi Ulaya tumeona wameongeza umri wa kustaafu hadi 70 na bado watu wana nguvu. Miaka 60 ni michache sana ni kupoteza rasilimaliKuna sababu gani ya msingi kumuondoa ofisini mtu mwenye taaluma na ujuzi wake ktk umri wa miaka 60, rais wa nchi (kazi ngumu zaidi) ana zaidi ya miaka 60?
Samia ana miaka 63.
Wasira ana miaka 81.
Wana nyadhifa kubwa zinzoamua mustakabali wa watanzania.
Kwann watumishi wa chini huku wanastaafishwa ktk umri wa miaka 60?
Hata huko duniani,
1. Trump ana miaka 79
2. Ayatollah ana miaka 85.
3. Netanyahu ana miaka 75.
Wote hawa wako madarakani na wanafanya vizuri.
Mitaani huko wafanyabiashara, wakulima na wafugaji wana miaka zaidi ya 60 lkn ndiyo kwanza wanaendelea kukuza mitaji yao. Na wanafanya vizuri.
Basi kuna haja ya kufuta kigezo cha umri ktk kuamua nani astaafu bali hali ya afya ya mtu ama kifo ndiyo kiamue
UGanda kuna wanawake wazuri sana lkn M7 kwa sasa labda aingie chumvini, ama ashike tako na kunusa chupi zao.Nikiona clip moja M7 amepewa panga akate mgomba, ilimchukua saa zima kuuangusha.