Kigezo cha kuwa Sheikh (Shehe) ni nini?

Wakristo mara nyingi wamekuwa wakijifanya wasomi.

Wanaenda mbali zaidi kwa kuwadharau waislamu kwamba ni 'wazee wa mdarasa' hawana elimu.

Cha ajabu usomi wao upo mdomoni tu huku nchi ikizidi kufubaa na wao wasomi wakiangalia tu.

Ofcourse ni wasomi kweli. Record zinaonyesha na isitoshe muundo wa dini huwez kuwa kiongozi kama hujasoma kweli kweli
 
Suala ni namna masheikh wanavyopatikana hizi nyingine ni blahblah
 
kama unashindwa kujua hata alichokiacha huyo unaemwita rc mbobezi basi wewe bado sana huijui historia ya taifa hili
 
Hii Miaka 10 mnayopitia wenzetu athari yake ni nini kwenye jamii,mbona haionekani ?
Zaidi ya majigambo ,mbona hatuoni utofauti wa ninyi mnaopitia Miaka Kumi na Sisi tulioishia ngumbaru
Maana mfano rahisi Ni huu ulionyesha hapa,umeshindwa hata kutafuta maana ya sheikh Bali umeishia kusakama tu
Sasa tofauti yako ww msomi uliekaa miaka 10 lkn umeshindwa hata kutafuta maana ya neno rahisi na ambae hajasoma ,Ni iPi
Nilitegemea ungelikuja na majibu kua mm kama msomi nimetumia maarifa yangu kutafuta maana ya hili neno ,nimefahamu kua maana yake ni hii, lakini Si hivyo
Tofauti yenu na Sisi ni nini ikiwa hata Hilo dogo Ni shida kulitatua
 

Bwana mleta mada,Sisi ngumbaru hatujui kufasiri
Hebu tusaidie hapo ,nimeipata kutoka Kwa wasomi wenzako
 
- uko na midevu mirefu? Basi umekaribia

- uko na kanzu, baraghashia, kizibao na kobazi? Hauko mbali kua sheikh.

- achana na elimu dunia, umepiga madrassa na uko na aya kadhaa za Qur'an kichwani? Wewe tayari ni sheikh!



LEO NAPIGA KOTE!



- Uko na mistari miwili mitatu ya bibilia kichwani? Unasubiri nini kua mtume au nabii?

- unaweza kupata watu kadhaa wakatoa ushuhuda wa uongo na kuigiza kua wamepona? Fungua kanisa mzee.

- unaweza kuongea kwa hisia na sauti kubwa? Unaipenda Israel? Wewe ni mchungaji.



Haya leteni mapovu wavaa kobazi na wagalatia!

[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
 
Wakuu ni katika kujifunza bila ukomo.

Mimi na wenzangu wasiojua, tunaomba kujuzwa vigezo vya mtu kuwa shehe. Nyongeza; kunakuwa na kiwango cha elimu yeyote ya kidunia au ni elimu ya dini tu?
Neno shekhe sio cheo ni mtu yeyote aliye muumini, hata wewe unaweza kuitwa shekhe

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Wakuu ni katika kujifunza bila ukomo.

Mimi na wenzangu wasiojua, tunaomba kujuzwa vigezo vya mtu kuwa shehe. Nyongeza; kunakuwa na kiwango cha elimu yeyote ya kidunia au ni elimu ya dini tu?
yeyote anaweza kuwa sheikh.....
 
Nyie si ndio mmeanza yaani unaacha kuangalia ndugu zako unakimbilia kuangalia sisi au uonyeshwe kejele?

Mngekuwa na akili timamu msambaza chuki kwa waraka wenu wa mchongo.

Kumbe kichwa kikubwa kweny avatar ila akili hauna.
 
Kila muislam ni kiongozi WA nani Sasa ,maana wote hawezi kuwa viongozi watakasa WA kuwaongoza
 
Wakuu ni katika kujifunza bila ukomo.

Mimi na wenzangu wasiojua, tunaomba kujuzwa vigezo vya mtu kuwa shehe. Nyongeza; kunakuwa na kiwango cha elimu yeyote ya kidunia au ni elimu ya dini tu?
Kwanza Usheikh hausomewi, hapa ndipo Wakristo walipo kwama, yaani mnapenda kusoma Upadri, mara hivi mara vile.

Tamko sheikh ni la asili ya Kiarabu lenye maana zaidi ya Moja. Sheikh huitwa mzee mwenye umri mkubwa.

Kadhalika sheikh ni mtu mwenye elimu kubwa ya dini, elimu ambayo huendana na matendo.

Wakristo wengi, wanaona kuwa na degree au PhD ni kuwa na reasoning kubwa, kama ingekuwa hivyo basi Yesu msingemuita Mungu au mwana wa Mungu, lakini kadhalika msongekubalo kuwepo na masanamu kwenye makanisa yenu. Hiki ni kipimo rahisi sana kinacho onyesha elimu yenu kubwa mnayo jifaragua kwayo inawafanya kuwa wajinga na msio fikiria mambo kwa ukubwa.

Kwangu Mimi ukitaka kujua maana ya Ujinga waangalie Wakristo na matendo yao.
 
Na wasiwasi wewe si muislamu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…