The Analyst
JF-Expert Member
- Feb 26, 2011
- 464
- 246
Mitindo ya mavazi ni mingi mno kwa wanawake, na wanapeyapenda haswaaaa! Ninachoomba kuwauliza wana MMU hapa JF ni je wanatumia kigezo gani kuchagua mavazi? Mfano ni viatu virefu sana kwa madada wafupi kwa madai ya kuongeza height kidogo ili kupendeza zaidi kwenye mavazi kama suruali au kumatch na urefu wa partner wake kama wanatoka nk. Hii kwangu....
maana huona wanapendeza zaidi.
>>>Nimekuwa napata wakati mgumu sana ninapomkuta mdada (mjanja sana tu) maeneo kama vyuo vikuu kavaa suruali inayombana sana wakati umbo lake linaelekea kuwa "7 au 9" Mtazamo wangu dada kama huyu angependeza zaidi kwa mavazi yanayombana juu na kumpwaya chini ya kiuno ili kuleta zile shape zinazozimikiwa na wengi. Madada wa Figure "8 au 6" wanapojibana na kuonesha figure zao halisi naona...
. To say the truth sichoki kuwa around.
>>>Swali langu halitakuwa na maana kama sitasema kila mtu kwa maumbile yake anapendeza katika mavazi ya aina fulani. Inapotokea mdada akavaa nguo ambayo ipo chati kama vipedo nk lakini haviendani na umbo lake (mtazamo wangu na wa enthusiasts wengi) anakuwa anatumia kigezo gani?
>>>Nimewahi kumshauri mdada mmoja kutovaa nguo za kubana sana hasa kiunoni kwenda chini kwa kuwa zinapunguza ass yake na kuonekana kama hana figure nzuri wakati Mungu kamjaaalia, akakubali siku ya kwanza na tulipotoka watu wengi wakawa wanageukageuka na kufanya tucheke lakini cha ajabu siku si nyingi nikamkuta na ki-jeans kimemshika halafu juu blauz gani sijui lina pwaya yaani kimsingi hajapendeza kabisa nikashangaa hawa wapendwa wetu vipi?
>>>Madada wengine mkivaa kanga (pasipokujali ni moja au mia) mnasababisha watu tusiende nje ya nyumba zetu lakini cha ajabu madada kama hawa utawakuta hata doti mbili hawana na kama zipo basi ndiyo zitakuwa zimejificha zaidi ktk makabati yao..........Why?....