Chizi Maarifa JF-Expert Member Joined Jul 29, 2013 Posts 14,762 Reaction score 32,386 Jan 3, 2026 #1 Yes , lazima ukubali kuliwa ubongo. Ukiwa na Ubongo huwezi kupata vyeo au nafasi flani flani. Lazima kwanza uliwe Ubongo. Msikilizwe Msigwa msikilize PM utagundua bongos zao zimeliwa
Yes , lazima ukubali kuliwa ubongo. Ukiwa na Ubongo huwezi kupata vyeo au nafasi flani flani. Lazima kwanza uliwe Ubongo. Msikilizwe Msigwa msikilize PM utagundua bongos zao zimeliwa
MD SPECIAL JF-Expert Member Joined Jul 4, 2025 Posts 1,161 Reaction score 2,812 Jan 3, 2026 #2 Ukishakuwa akili kubwa ccm unakuwa adui mkubwa lazima tu utolewe nje ya mfumo.
CHIEF PRIEST JF-Expert Member Joined Dec 13, 2021 Posts 21,737 Reaction score 42,892 Jan 3, 2026 #3 Kama hivi