GE2025 Kigoda cha Uprofesa Mwalimu Julius Nyerere cha UDSM champongeza Rais Samia kukuza diplomasia ya uchumi

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Mkalukungone Mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
3,141
Reaction score
7,205
Washiriki wa mjadala wa kitaalamu ulioandaliwa na Kigoda cha Uprofesa Mwalimu Julius Nyerere cha Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) wamepongeza jitihada za Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan katika kukuza diplomasia ya uchumi kupitia Sera Mpya ya Mambo ya Nje, wakisema ni kichocheo cha biashara ya kimataifa na uwekezaji kuelekea Dira ya Maendeleo 2050.

Aidha, wamesisitiza umuhimu wa kuimarisha mazingira ya ushindani ili Tanzania inufaike zaidi na fursa za kikanda na kimataifa kwa maendeleo ya wananchi wake.

Washiriki hao wameeleza pia kuwa Serikali ya Awamu ya Sita imefanya kazi kubwa katika ujenzi wa miundombinu ya kimkakati ikiwemo reli, barabara, bandari na umeme, jambo wamelisema linastahili kuungwa mkono kwa kuwa linachochea uchumi jumuishi.

Hata hivyo, wametoa ushauri wa kupanua ubia kati ya sekta ya umma na sekta binafsi (PPP) ili kupunguza mzigo wa kifedha kwa Serikali na kuongeza uwekezaji katika maeneo ya elimu, afya na kukuza rasilimali watu yenye ujuzi mkubwa.

Screenshot 2025-10-24 223009.png
Screenshot 2025-10-24 223019.png
Screenshot 2025-10-24 223029.png
 
Watoa mada walikua nani na nani?...kazi kweli kweli
 
Washiriki wa mjadala wa kitaalamu ulioandaliwa na Kigoda cha Uprofesa Mwalimu Julius Nyerere cha Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) wamepongeza jitihada za Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan katika kukuza diplomasia ya uchumi kupitia Sera Mpya ya Mambo ya Nje, wakisema ni kichocheo cha biashara ya kimataifa na uwekezaji kuelekea Dira ya Maendeleo 2050.

Aidha, wamesisitiza umuhimu wa kuimarisha mazingira ya ushindani ili Tanzania inufaike zaidi na fursa za kikanda na kimataifa kwa maendeleo ya wananchi wake.

Washiriki hao wameeleza pia kuwa Serikali ya Awamu ya Sita imefanya kazi kubwa katika ujenzi wa miundombinu ya kimkakati ikiwemo reli, barabara, bandari na umeme, jambo wamelisema linastahili kuungwa mkono kwa kuwa linachochea uchumi jumuishi.

Hata hivyo, wametoa ushauri wa kupanua ubia kati ya sekta ya umma na sekta binafsi (PPP) ili kupunguza mzigo wa kifedha kwa Serikali na kuongeza uwekezaji katika maeneo ya elimu, afya na kukuza rasilimali watu yenye ujuzi mkubwa.

View attachment 3493120View attachment 3493121View attachment 3493122
Matako yao , I mean matamko yao hayana akili
 
Wanaona hata aibu kutazamana, sura zao zimejawa huzuni.
 
Mwalimu mwenyewe mwenye Kigoda huko kama namuona akibisha kwamba "msinisingizie jama,sijatoa tuzo yoyote hapo"
 
Diplomasia ya uchumi wa nyoko.

Mi profesa mizima inajikomba kwa form 4 failure.
 
Back
Top Bottom