Poppy Hatonn
JF-Expert Member
- Apr 9, 2021
- 4,042
- 6,854
Sasa I am not suggesting kwamba mimi nimemwona Kigogo kwamba ni mtu ambaye anasema habari za kweli au habari ambazo ni useful.
In fact huyu Kigogo ni mbabaishaija kama wababaishaji wengine.
In fact,it is a tragic situation katika internet,watu wanaripoti mambo mengi ya uongo.
Lakini hii ni Tanzania tu.
Katika nchi nyingine tunaona discipline ya kutmumia internet inadumishwa.
Kwanza Kigogo huyu ni anonymous.
Kwa hiyo anaweza kuwa mshirika wa Riz One.
Mi nadhani jambo muhimu sasa ni Ikulu iwaite watu ambao inaona watafaa kushiriki kwenye Mkutano wa maridhiano ya kitaifa.
Amani hailetwi na mtu yeyote.
Vietnam ilitokea amani kwa sababu wote,Wavietnam na Wamarekani walikuwa wamechoka kupigana.
Putin anaonekana dhahiri anajuta kuishambulia Ukraine.
Trump anasema ,ndiyo,Iran lazima iadhibiwe lakini tunakuja katika hizi mid-term elections. Hii vita haiwapendezi Wamarekani.
Kwa hiyo nadhani sasa ni wakati mzuri wa kuongea kuhusu amani.
Kwa hiyo habari ndiyo hiyo.
Ile nafasi ilikuwa iende Kwa Riz One.
Kigogo anasema watu wengi walipendekeza Riz One awe Makamu wa Rais lakini Samia amekataa.