Kigogo anasema Ile nafasi ya umakamu ilikuwa iende Kwa Riz One

As long as Riz anakidhi sifa na vigezo, hakuna ubaya angeteuliwa yeye kama wengi walivyopendekeza, ila kuna mambo kwenye urais wetu ambayo hayaandikwi, zaidi ya rais akitoka upande mmoja wa muungano, makamu atoke upande mwingine, pia kuna dini ya rais akiwa wa dini fulani, makamu anakuwa ni dini nyingine, kufuatia kile kilichotokea Machi 17 ile, makamu wa rais ni rais in waiting, hivyo kama ni kweli dogo R1 alipendekezwa na wengi lakini No. 1 akamkatalia, ni amefanya vema for saving the best for the last, R1 zamu yake ni 2040-2050, muda bado tunao wa kutosha https://www.jamiiforums.com/threads...aa-sana-in-future-baada-ya-zamu-yetu.2441510/
P
Wee Mzee Paskali, ninachojua mimi R1 anaandaliwa kuwa Rais 2030

Mambo yenu ya dini hii or ile hakuna atakayeheshimu na hamtoweza kufanya chochote

Ikiwa Makamu ameenda missing for 10 days now na maisha yanasonga! Hakuna alieandamana kujua makamu yupo wapi
Nani ataandamqnq R1 akiwa Rais 2030
Tena NYIE CCM mtapiga makofi kama kawaida
 
As long as Riz anakidhi sifa na vigezo, hakuna ubaya angeteuliwa yeye kama wengi walivyopendekeza, ila kuna mambo kwenye urais wetu ambayo hayaandikwi, zaidi ya rais akitoka upande mmoja wa muungano, makamu atoke upande mwingine, pia kuna dini ya rais akiwa wa dini fulani, makamu anakuwa ni dini nyingine, kufuatia kile kilichotokea Machi 17 ile, makamu wa rais ni rais in waiting, hivyo kama ni kweli dogo R1 alipendekezwa na wengi lakini No. 1 akamkatalia, ni amefanya vema for saving the best for the last, R1 zamu yake ni 2040-2050, muda bado tunao wa kutosha https://www.jamiiforums.com/threads...aa-sana-in-future-baada-ya-zamu-yetu.2441510/
P
Chawa
 
Huyo yuko kivuli tu. Vice President behind ni Abdul wa Mama Samia. Kama kunaendelea utekaji, hamjiulizi serikali inaendeshwa na nani?,
 
As long as Riz anakidhi sifa na vigezo, hakuna ubaya angeteuliwa yeye kama wengi walivyopendekeza, ila kuna mambo kwenye urais wetu ambayo hayaandikwi, zaidi ya rais akitoka upande mmoja wa muungano, makamu atoke upande mwingine, pia kuna dini ya rais akiwa wa dini fulani, makamu anakuwa ni dini nyingine, kufuatia kile kilichotokea Machi 17 ile, makamu wa rais ni rais in waiting, hivyo kama ni kweli dogo R1 alipendekezwa na wengi lakini No. 1 akamkatalia, ni amefanya vema for saving the best for the last, R1 zamu yake ni 2040-2050, muda bado tunao wa kutosha https://www.jamiiforums.com/threads...aa-sana-in-future-baada-ya-zamu-yetu.2441510/
P
Hivi mkuu unaandika vipi makala za kujadili ibara za katiba ilhali una mawazo ya watu kuwa na zamu za kugombea? Kwamba mwaka flani mgombea ni flani na flani..

Credibility yako na ya makala zenyewe si inakua zero!
 
Sasa I am not suggesting kwamba mimi nimemwona Kigogo kwamba ni mtu ambaye anasema habari za kweli au habari ambazo ni useful.

In fact huyu Kigogo ni mbabaishaija kama wababaishaji wengine.

In fact,it is a tragic situation katika internet,watu wanaripoti mambo mengi ya uongo.

Lakini hii ni Tanzania tu.
Katika nchi nyingine tunaona discipline ya kutmumia internet inadumishwa.

Kwanza Kigogo huyu ni anonymous.
Kwa hiyo anaweza kuwa mshirika wa Riz One.

Mi nadhani jambo muhimu sasa ni Ikulu iwaite watu ambao inaona watafaa kushiriki kwenye Mkutano wa maridhiano ya kitaifa.
Amani hailetwi na mtu yeyote.
Vietnam ilitokea amani kwa sababu wote,Wavietnam na Wamarekani walikuwa wamechoka kupigana.
Putin anaonekana dhahiri anajuta kuishambulia Ukraine.

Trump anasema ,ndiyo,Iran lazima iadhibiwe lakini tunakuja katika hizi mid-term elections. Hii vita haiwapendezi Wamarekani.
Kwa hiyo nadhani sasa ni wakati mzuri wa kuongea kuhusu amani.
Kwa hiyo habari ndiyo hiyo.
Ile nafasi ilikuwa iende Kwa Riz One.
Kigogo anasema watu wengi walipendekeza Riz One awe Makamu wa Rais lakini Samia amekataa.
Hakuna amani bila haki.
 
Mama aliogopa !

Mambo yangekua sivyo!yaani makam angefanya movement za baba yake na hiyo ndio hatari sana!!

Si mnajua Mzee kikwete Huwa anatabasamu TU na huwezi jua kama amekasirika au amefurahi !huo ndio mtihani!!

Bora mama ametukumbuka wagogo wanna dodoma tangu enzi za malechela Hadi ndejembi!
 
As long as Riz anakidhi sifa na vigezo, hakuna ubaya angeteuliwa yeye kama wengi walivyopendekeza, ila kuna mambo kwenye urais wetu ambayo hayaandikwi, zaidi ya rais akitoka upande mmoja wa muungano, makamu atoke upande mwingine, pia kuna dini ya rais akiwa wa dini fulani, makamu anakuwa ni dini nyingine, kufuatia kile kilichotokea Machi 17 ile, makamu wa rais ni rais in waiting, hivyo kama ni kweli dogo R1 alipendekezwa na wengi lakini No. 1 akamkatalia, ni amefanya vema for saving the best for the last, R1 zamu yake ni 2040-2050, muda bado tunao wa kutosha https://www.jamiiforums.com/threads...aa-sana-in-future-baada-ya-zamu-yetu.2441510/
P
Kweli mwandishi nguli anaweza kuandika 2040…ni zamu ya mtu fulani 🤔, I can’t imagine Ulimwengu au mwandishi wa New York Times aandike ulichoandika
 
Vijana Matahira kama nyie ni hasara kwa Taifa.
Kazi yenu kubwa ni kula matapishi ya mitandaoni.
Kijana ambaye kutwa kutwa yuko kwenye page za Kigogo na MANGE KIMAMBI ni hasara kubwa kwa Taifa
 
Sasa I am not suggesting kwamba mimi nimemwona Kigogo kwamba ni mtu ambaye anasema habari za kweli au habari ambazo ni useful.

In fact huyu Kigogo ni mbabaishaija kama wababaishaji wengine.

In fact,it is a tragic situation katika internet,watu wanaripoti mambo mengi ya uongo.

Lakini hii ni Tanzania tu.
Katika nchi nyingine tunaona discipline ya kutmumia internet inadumishwa.

Kwanza Kigogo huyu ni anonymous.
Kwa hiyo anaweza kuwa mshirika wa Riz One.

Mi nadhani jambo muhimu sasa ni Ikulu iwaite watu ambao inaona watafaa kushiriki kwenye Mkutano wa maridhiano ya kitaifa.
Amani hailetwi na mtu yeyote.
Vietnam ilitokea amani kwa sababu wote,Wavietnam na Wamarekani walikuwa wamechoka kupigana.
Putin anaonekana dhahiri anajuta kuishambulia Ukraine.

Trump anasema ,ndiyo,Iran lazima iadhibiwe lakini tunakuja katika hizi mid-term elections. Hii vita haiwapendezi Wamarekani.
Kwa hiyo nadhani sasa ni wakati mzuri wa kuongea kuhusu amani.
Kwa hiyo habari ndiyo hiyo.
Ile nafasi ilikuwa iende Kwa Riz One.
Kigogo anasema watu wengi walipendekeza Riz One awe Makamu wa Rais lakini Samia amekataa.

View: https://www.facebook.com/share/v/1QVXsUDbtK/
 
Mtu anaejipendekeza ni yule mwenye malengo fulani, huko kujipendekeza, kusaidie, mimi nijipendekeze ili iweje?.
Naomba tusififishe freedom of expression za watu ili wasionekane wanajipendekeza

P
Inajulikana mbona,unajipendekeza ili upate japo kauteuzi.
Bahati mbaya sijui una gundu gani,kila mkeka ukitoka jina lako halipo.
 
Back
Top Bottom