Kigogo anasema Ile nafasi ya umakamu ilikuwa iende Kwa Riz One

Poppy Hatonn

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2021
Posts
4,042
Reaction score
6,854
Sasa I am not suggesting kwamba mimi nimemwona Kigogo kwamba ni mtu ambaye anasema habari za kweli au habari ambazo ni useful.

In fact huyu Kigogo ni mbabaishaija kama wababaishaji wengine.

In fact,it is a tragic situation katika internet,watu wanaripoti mambo mengi ya uongo.

Lakini hii ni Tanzania tu.
Katika nchi nyingine tunaona discipline ya kutmumia internet inadumishwa.

Kwanza Kigogo huyu ni anonymous.
Kwa hiyo anaweza kuwa mshirika wa Riz One.

Mi nadhani jambo muhimu sasa ni Ikulu iwaite watu ambao inaona watafaa kushiriki kwenye Mkutano wa maridhiano ya kitaifa.
Amani hailetwi na mtu yeyote.
Vietnam ilitokea amani kwa sababu wote,Wavietnam na Wamarekani walikuwa wamechoka kupigana.
Putin anaonekana dhahiri anajuta kuishambulia Ukraine.

Trump anasema ,ndiyo,Iran lazima iadhibiwe lakini tunakuja katika hizi mid-term elections. Hii vita haiwapendezi Wamarekani.
Kwa hiyo nadhani sasa ni wakati mzuri wa kuongea kuhusu amani.
Kwa hiyo habari ndiyo hiyo.
Ile nafasi ilikuwa iende Kwa Riz One.
Kigogo anasema watu wengi walipendekeza Riz One awe Makamu wa Rais lakini Samia amekataa.
 
As long as Riz anakidhi sifa na vigezo, hakuna ubaya angeteuliwa yeye kama wengi walivyopendekeza, ila kuna mambo kwenye urais wetu ambayo hayaandikwi, zaidi ya rais akitoka upande mmoja wa muungano, makamu atoke upande mwingine, pia kuna dini ya rais akiwa wa dini fulani, makamu anakuwa ni dini nyingine, kufuatia kile kilichotokea Machi 17 ile, makamu wa rais ni rais in waiting, hivyo kama ni kweli dogo R1 alipendekezwa na wengi lakini No. 1 akamkatalia, ni amefanya vema for saving the best for the last, R1 zamu yake ni 2040-2050, muda bado tunao wa kutosha https://www.jamiiforums.com/threads...aa-sana-in-future-baada-ya-zamu-yetu.2441510/
P
 
Hauna tofauti na wassira
 
Unajipendekezaga sana, lakini unamtumia akili kubwa kujipendekeza kiasi kwamba unaowatarget hawakuelewi kama unajipendekeza kwao, sababu wewe ni akili kubwa.
 
Riz awe raisi daaah? kweli hii nchi itakuwa ya majuha.
 
Unajipendekezaga sana, lakini unamtumia akili kubwa kujipendekeza kiasi kwamba unaowatarget hawakuelewi kama unajipendekeza kwao, sababu wewe ni akili kubwa.
Mtu anaejipendekeza ni yule mwenye malengo fulani, huko kujipendekeza, kusaidie, mimi nijipendekeze ili iweje?.
Naomba tusififishe freedom of expression za watu ili wasionekane wanajipendekeza

P
 
watu wengi walipendekeza Riz One awe Makamu wa Rais lakini Samia amekataa.


Je Kikwete na Rostam wao pendekezo lao lilikuwa ni lipi,?
 
Kigogo ni Tapeli huyo si wa kumuamini siku hizi yeye na Lucas Mwashambwa tofauti yao ni ndogo sana
 
Umeeleza vizuri Pascall
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…